Guys hapa Arusha kuna vyuma sio poa

Guys hapa Arusha kuna vyuma sio poa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,993
Reaction score
12,041
Aisee huu mji ni una warembo vibaya mno. Nipo hapa stendi ndogo jirani na Kimahama yaani shingo inataka kukatika sijui ni wa mkoa gani hawa mabinti wa Tanzania, warefu weupe/maji ya kunde ngozi nzuri,African figure aloo unaweza kuuza ukoo. Jamani wanadaslama huko nitarudi in two weeks, sirudi mapema huko kunaboa!
 
Watoto wakali halafu hawana makuu, huko ni mchanganyiko, Chagani Maasai, Meru na Iraqw, aisee ni wakali ndo maana mm nasemaga Arusha kuhama lbd nihame now niwakute huko nitahamia.

Kwa ufupi ni kuwa wale mademu wakali wote unaowaona wanapita pale mkunguni posta Dar majority wanatokea ukanda huo!
 
Asieee
Screenshot_20250916-210850.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom