Gundu la kinyesi

ahsante mkuu nime elimika
 
Mungu atusaidie Watanzania kuondokana na imani potofu za kishirikina. Ndio maana nchi inachelewa sana nawasihi tubadilike tuachane na mambo ya kishetani.
Kweli tunafikia hatua kinyesi inakuwa mada leo hii duh hasara kubwa ya kiroho naiona. Hebu tuache ujinga bana hivi kama jumba lako unalijenga miaka nenda rudi unategemea lisigeuzwe choo au genge la wazinzi au wavuta bangi? Hebu acheni upuuzi
 
Wakati mwingine wezi wajapo kuiba asubuhi unakutana na kimba pia. Nia yao ni nini?
 
Mshana jr na kuna ile wezi wanaingia ndani usiku wanaiba,wakishamaliza lazima mmoja ashushe kimba la nguvu ndani,hii ilikuwa maarufu sana zamani,siku hizi haisikiki sana,sijui maana yao hasa huwa ni nini.na wakati mwingine kama kuna chakula wanakula halafu wanaachia kimba ndani ya sufuria.
 
Ni kweli kabisa nakumbuka sana hiyo kitu kama si mibangi basi pengine ni masharti ya mganga
 
Ni kweli kabisa nakumbuka sana hiyo kitu kama si mibangi basi pengine ni masharti ya mganga
Kkuna mama wa kihindi customer wetu kwenye bank,aliomba apelekwe locker room,kuingia kule akaanza kujisaidia chini,hata alipopelekwa chooni alijisaidia chini.uzi wako umenikumbusha kisa hiki.
 
Kkuna mama wa kihindi customer wetu kwenye bank,aliomba apelekwe locker room,kuingia kule akaanza kujisaidia chini,hata alipopelekwa chooni alijisaidia chini.uzi wako umenikumbusha kisa hiki.
Mmh
halafu ikawaje?
 
Mmh
halafu ikawaje?
Tulipomuuliza kama anaumwa?akasema hapana ni bahati mbaya.ikabidi cleaners wafanye usafi,niliwahurumia sana kwa kweli,tukadhani labda mama yule wa kihindi kwa tendo la aibu alilofanya atachukua muda mrefu kurudi,lakini alikuja baada ya siku 2,yuko kawaida kabisa kama hakuna lililotokea.na hadi leo ana locker lake hapa.
 
Mkuu upo sawa kabisa mimi baada ya kumaliza ujenzi siku ya kuhamia tulikuta kinyesi kibichi sebuleni nailihali milango na madirisha vikiwa vimefungwa wajuzi wa mambo wakaniambia hilo nibalaa tusiingie wala kukitoa mpaka tupate mtaalam wakimaanisha mganga lakini badala yake nilitafuta wachungaji tukafanya maombi mpakaleo nimiaka 7 tunaishi bila wasiwasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…