Tusigombee fito, nyumba yetu tuijenge kwa malighafi mbalimbali, Rais Samia anatosha

Nov 6, 2016
53
146
KWANINI TUGOMBEE NJITI NA TUNAIJENGA NYUMBA MOJA, MIMI NITAMUIMBIA DR SAMIA

Na Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO

Kuna kasumba kubwa ya viongozi, na washabiki wa CCM kufikiria kwamba sisi ambao tunampenda Dr Samia tunataka uteuzi, wamefanya jitihada kubwa za kutuvunja moyo imefika mahali wamegongwa mwamba.

Wanakuja na gia zingine za kutugombanisha na wabunge na madiwani wetu kwa kigezo tu kwamba tulitia nia kuteuliwa na chama kugombea ubunge ( Jimbo la Kawe 2020 ) wanaoanisha juhudi zetu kwenye chama na kuendelea kuwania nafasi hizo.

Wengine wanakuja juu wakituona tumerudi katika kazi zetu za sanaa na ubunifu wana assume walikuwa wanajua tulichokuwa tunakifanya kabla ya kugombea nafasi za kuongoza dola

MAJIBU YENU NI HAYA
1. Sisi wengine tunafurahia tu nchi ikiwa huru na amani, na tunaona Dr Samia amefanya nchi yetu ipo katika ustawi kiasi kwamba tukifanya biashara zetu zinakwenda na tunapata tunachopata na tunaweza kuwapa na wenzetu
2. Siasa si kufunga ubunifu na kupeleka majungu na ugombanishi tu, kuna kasumba kubwa sana kwa watu wakioanisha masuala ya siasa na mambo ya kuongea ongea hovyo na kuwagombanisha viongozi, wapo maofisini hawabuni programs zozote za kuwainua wananchi kiuchumi na kiustawi, wala hawana program zozote za kumtafutia Dr Samia ushindi, na ushindi wa Serikari za mitaa, ili CCM ishike Dola wao ni majungu na malalamiko
3. Mimi nitafanya kazi ya chama bila kusubiri malipo wala uteuzi, nitakipigania chama ili nchi yetu iendelee kuwa salama, ila nikiteuliwa nakubali kwa sababu elimu ya kutosha ninayo, uzoefu wa kazi ninao, na nina fikra chanya katiki ukuzaji wa uchumi na ustawi

NIMECHAGUA KUMUIMBIA MAMA SAMIA, KUMTUNGIA MASHAIRI YA KUSIFU KAZI ZAKE, KUMTENGENEZEA KALENDA NA KUZIGAWA BURE, NINAFANYA KWA MAPENZI YANGU NA KWA GHARAMA ZANGU.

NDIMI
Comrade Ally Maftah
Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam
Mkufunzi wa UjasiliamaliView attachment 2915629
 
Mkufunzi wa UjasiliamaliView attachment 2915629View attachment 2915630
Hivi unajua tuna maumivu makubwa sana ya kukosa Sukari, Umeme na gharama kubwa za mafuta!?

Unaleta kabisa mambo yako binafsi humu bila hata aibu? Choko mkubwa
 
Tatizo wengine wanajenga nchi wakiiwa wamevimbiwa huku wengine wanajenga nchi huku matumbo yakiwa tupu.

Unamlipa mtu mmoja 16M Kwa mwezi na mwingine 400K kwa mwezi wenye sifa na vigezo sawa. Halafu wote wanajenga nchi Moja...

ACHA TUGOMBANIE TU HIZO FITO....
 
SIHUSIKI NA UJINGA WAKO TAFUTA PESA UACHE KULIA LIA MDOGO WANGU, HAYO NI MABADILIKO YA KIUCHUMI NA KIMAZINGIRA YAPO DUNIANI KOTE, ENDELEA KULIA LIA
 
Tatizo wengine wanajenga nchi wakiiwa wamevimbiwa huku wengine wanajenga nchi huku matumbo yakiwa tupu.

Unamlipa mtu mmoja 16M Kwa mwezi na mwingine 400K kwa mwezi wenye sifa na vigezo sawa. Halafu wote wanajenga nchi Moja...

ACHA TUGOMBANIE TU HIZO FITO....
SIHUSIKI NA UJINGA WAKO, ANAYELIPWA HIYO HELA NI NANI? MJOMBA WAKO? EBU PAMBANA ULIPWE WEWE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom