greetins to all JF members

greetins to all JF members

Keby

New Member
Joined
Nov 2, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Hi wanaJF! mie ni new member........................hope 2takuwa pa1
 
Hi wanaJF! mie ni new member........................hope 2takuwa pa1
Naona new member from facebook,...umekuja ki fb_unaandika ki fb,...anyway karibu sana new member
 
Keby uko at the right place wrong time... Kuna Jukwaa la Utambulisho spesheli kwa ajili ya kuomba ukaribisho... Pale hukosi members kama akina Katavi amah Chatudume kuja kksalim kwa furaha kabisa.

Hapa ni MMU forum ilojaa upende kuliko zooote. Hakksha unajenga makazi hapa.... Utapenda... Enjoy na karib saana.
 
karibu jukwaani; si na hakika kama ulibisha hodi mlango wa mbele!?
 
Jisikie uko jeshini.... Oops sorry jisikie uko nyumbani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom