karibu sana mkuuHabari zenu. ndugu wana JF. mimi ni member mpya.nimejiunga jana.
Karibu, wewe ni jinsia gani?Habari zenu. ndugu wana JF. mimi ni member mpya.nimejiunga jana.
Usijidanganyike ndugu memba mpya..jichanganye for your own risk ..humu kuna visiki vya mpingo.Karibu, wewe ni jinsia gani?
Mimi ni mama mchungaji wa JF, huwa natoa mapepo machafu kwa vijana na ushauri wa kimwili na kiroho kwa mabinti!
View attachment 3630606
au sio , naona maveterani mmejitokeza kumlaki kijana mpyaKaribu tukupokee mimi ndio binti sayuni wa humu jukwaani, uje taratibu lakini..
Kabisa!😎au sio , naona maveterani mmejitokeza kumlaki kijana mpya
Nakusihi usimguse makebo yake mkuu, tafadhali.Karibu, na kutananna Ayatollah wa JF secretarybird, kwa ushauri nasaha.
Atajutra kukufahamu! Soon anapigwa kipapai, sio kwa ulozi uliotukuka😎Nione mwehu ndama kwa shauri za kimaisha na tabia njema ilio tukuka ndugu member mpya
Kwa nini?Nakusihi usimguse makebo yake mkuu, tafadhali.
😁😁🫵Karibu, na kutana na Ayatollah wa JF secretarybird, kwa ushauri nasaha.
Bado mgeni huyu!Kwa nini?