Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 203
Hivi itakuwaje siku umeamka asubuhi unafungua mlango halafu unakuta hakuna nje? Yaani nje kumepotea. Halafu unarudi ndani napo kumepotea! Ni wazo la kijinga lakini scientifically? Nawasilisha wakuu! (hahaha!)