TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,891
- 11,288
Hivi inakuwaje iwapo waasi wanaagiza silaha zikiwa camouflaged halafu zipitie bandari yetu ya DSM kama cargo nyingine yoyote inayoenda DRC au Rwanda na maeneo mengine? Ina maana serikali ya Tanzania italaumiwa kuwa inasaidia waasi wa nchi hizo? Anaepaswa kupiga sachi mizigo hiyo ni nani kama siyo TRA. TRA wana capacity ya kuugundua mzigo uliobebwa wa silaha? Srikali ya Tanzania inaonewa tu.
hizi implications nyingine zinatutia madoa lakini kama inspection inafanywa na TRA then TRA ni entity ya serikali!!