Govt slams UN report on Arms Trafficking; demands apology

bnhai

JF-Expert Member
Jul 12, 2009
2,777
2,295
THE government has demanded an immediate apology from the United Nations, following publication of a report that implicates Tanzania with illegal arms supply to rebels operating in the Eastern Democratic Republic of Congo against Congolese and Rwandan governments.

Foreign Affairs and International Co-operation Minister, Bernard Membe, rubbished the UN report released last week, describing it as malicious and a fabricated lie, bent to tarnish the country’s good image.

“It is an act of hostility for which we find it difficult to remain silent. It is not acceptable. We deserve to be treated better. We deserve and demand an apology,” said Mr Membe, during a press conference here today.

The minister said since the report came out, the government had been wondering, where in Tanzania these weapons would be sourced from. “Unfortunately, the report does not shade any light on the matter.

All that it does is to offer second hand quotes, hearsays, farfetched assumptions and stretched extrapolations which in most cases are by unnamed sources,” he noted.

He added that the work of the group of experts who compiled the report had left the government surprised at such level of incompetence and unprofessionalism for a panel put together by the UN, an organisation that the government considers serious and esteemed.

“As such, we are left with no other option than to consider these allegations contemptible and malicious,” stressed the minister.

Mr Membe maintained that Tanzania has never and will not even contemplate to indulge in such despicable, reckless and worthless causes of trafficking in arms, which fuel conflicts against friendly neighbours.

“On the contrary, in conflict situations, Tanzania will always do what is best to do. Tanzania will join hands in efforts to end the conflicts rather than engage in acts which will fuel them. We will never add petrol to fire.

“Indeed, this is what Tanzania has been doing and continues to do in this region for more than the past 15 years now. Our record on this is known and speaks for itself. Tanzania never indulges in double talk,” explained the minister.

He said the country had done so much to advance the cause of peace in the Great Lakes Region and beyond, noting that since 1959 todate, it had provided safe haven for refugees fleeing wars, killings and persecution in their countries.

“After doing all these, to get such accusations based on lies and hearsay, is the last thing we can expect from a group associated with the UN. This is very unfair to us. That is why we feel very much aggrieved,” observed the minister.

The new UN report suggests that Tanzania was one of at least 25 countries that provide support to FDRL rebels. The countries, which include the United States are reportedly part of an international network helping DRC rebels to buy arms and transfer money.
Source; Dailynews
 
Hizi allegations zinafanana na zile alizoleta Mwanakijiji. Hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha
 
hakuna cha apology wala nini; tulishaandika haya miaka imepita. kama wanataka apology watuambie kwamba Meremeta ni aje?
 
hakuna cha apology wala nini; tulishaandika haya miaka imepita. kama wanataka apology watuambie kwamba Meremeta ni aje?

Mkuu uliweka vitu na box hapa jamvini, an i am sure membe na wenzake waliyasoma yale ya mule ndani kwani hata mimi nilisoma.

I think for Membe ni fulfilling responsibility yake kufanya hivyo

Anyway, another movie in the making
 
hakuna cha apology wala nini; tulishaandika haya miaka imepita. kama wanataka apology watuambie kwamba Meremeta ni aje?
Out of point, meremata inahusikaje hapa..watu mliokosa uzalendo kama nyinyi hamna maana kabisa shame on
 
hawa hawataki kuthubutisha UN.. hivi hawajui silaha zote za kina Victor Bout na kina Dr. Kambale? Hivi wanafikiri zile silaha zinazotumika Congo, Rwanda zilipitia wapi hewani?
 
Out of point, meremata inahusikaje hapa..watu mliokosa uzalendo kama nyinyi hamna maana kabisa shame on
tangu uonje utamu wa Ufisadi huambiwi husikii, ooh pole....unatia aibu, Rushwa imekupofusha MACHO katika mfumo wa fahamu
 
tangu uonje utamu wa Ufisadi huambiwi husikii, ooh pole....unatia aibu, Rushwa imekupofusha MACHO katika mfumo wa fahamu
Pombe za bure zitakuua dogo...punguza come to your sense..unafikiri mimi naabudu watu kama wewe.
 
hawa hawataki kuthubutisha UN.. hivi hawajui silaha zote za kina Victor Bout na kina Dr. Kambale? Hivi wanafikiri zile silaha zinazotumika Congo, Rwanda zilipitia wapi hewani?
Tanzania ina kiwanda cha kutengeneza silaha..au hujui nchi zenye kutengeneza silaha.
 
Tanzania ina kiwanda cha kutengeneza silaha..au hujui nchi zenye kutengeneza silaha.
Wanaofanya biashara ya kuuza madawa ya kulevya huwa wanakuwa na viwanda? Au vitu vyoote unavyonunua Tanzania vinatengenezwa hapo?
 
Wanaofanya biashara ya kuuza madawa ya kulevya huwa wanakuwa na viwanda? Au vitu vyoote unavyonunua Tanzania vinatengenezwa hapo?
Hujajibu swali? tanzania ina kiwanda cha kutengeneza silaha mpaka iwauzie rebel?
 
Out of point, meremata inahusikaje hapa..watu mliokosa uzalendo kama nyinyi hamna maana kabisa shame on
Uzalendo ni kutetea hata maovu yanafanyika? Jambo la muhimu hapa ni kukanusha hizo habari kwa kujitetea hoja kwa hoja, sio kukanusha tu.
 
Uzalendo ni kutetea hata maovu yanafanyika? Jambo la muhimu hapa ni kukanusha hizo habari kwa kujitetea hoja kwa hoja, sio kukanusha tu.
Ndio alichofanya waziri membe..kwamba hiyo report ni fubrication...after all tanzania haina kiwanda cha kuuza silaha ..UN waangaze huko kwa wakubwa..wasituletee balaa.
 
Kwahiyo hata jeshi letu halina silaha maana hatuna kiwanda. Hilo ndo unalotaka kusema?
Jeshi ina silaha zake siyo za kuuza..jeshi la Tanzania haifanyi biashara ya silaha..wanaofanya hiyo biashara UN wanawafahamu wasilete upuuzi wao...hapa.
 
Jeshi ina silaha zake siyo za kuuza..jeshi la Tanzania haifanyi biashara ya silaha..wanaofanya hiyo biashara UN wanawafahamu wasilete upuuzi wao...hapa.

mkuu tuna thread zetu kuleee, hii iache..i ushauri tu!
 
Hivi inakuwaje iwapo waasi wanaagiza silaha zikiwa camouflaged halafu zipitie bandari yetu ya DSM kama cargo nyingine yoyote inayoenda DRC au Rwanda na maeneo mengine? Ina maana serikali ya Tanzania italaumiwa kuwa inasaidia waasi wa nchi hizo? Anaepaswa kupiga sachi mizigo hiyo ni nani kama siyo TRA. TRA wana capacity ya kuugundua mzigo uliobebwa wa silaha? Srikali ya Tanzania inaonewa tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom