Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

[emoji344]bei mpya za simu Used za Google pixel(but clean as new[emoji95]), mabingwa wa camera[emoji991] duniani, kutoka marekani

pixel 3a(64gb) 280,000Tsh

pixel 3axl(64gb) 320,000Tsh

pixel 3xl(64gb) 390,000Tsh

pixel 4 (128gb) 480,000Tsh

pixel 4a(128gb) 440,000Tsh

pixel 4a 5g (128gb) 580,000Tsh

pixel 4xl(64gb) 500,000Tsh

pixel 4xl (128gb) 600,000Tsh

pixel 5 (128gb) 700,000Tsh

pixel 5a (128gb) 770,000Tsh

pixel6a(128gb) 1,000,000Tsh

pixel6pro (128gb) 1,300,000Tsh

six months warranty [emoji736]

WAKUU HIZI BEI NI FAIR??? USED
 
Pixel 6 pro is better than iphone 13 . Narudia tena in today's world of smart phones watu wanataka

1. Good quality camera (its all about pictures)
2. Simplicity (no limits)
3. Design (look)
4. RAM
5. Battery life

Kwenye hayo maeneo hapo juu ni kipi iphone 13 wamemshinda google pixel 6 pro? hakunaView attachment 2393979
13 pro more clear na inavutia
 
[emoji344]bei mpya za simu Used za Google pixel(but clean as new[emoji95]), mabingwa wa camera[emoji991] duniani, kutoka marekani

pixel 3a(64gb) 280,000Tsh

pixel 3axl(64gb) 320,000Tsh

pixel 3xl(64gb) 390,000Tsh

pixel 4 (128gb) 480,000Tsh

pixel 4a(128gb) 440,000Tsh

pixel 4a 5g (128gb) 580,000Tsh

pixel 4xl(64gb) 500,000Tsh

pixel 4xl (128gb) 600,000Tsh

pixel 5 (128gb) 700,000Tsh

pixel 5a (128gb) 770,000Tsh

pixel6a(128gb) 1,000,000Tsh

pixel6pro (128gb) 1,300,000Tsh

six months warranty [emoji736]

WAKUU HIZI BEI NI FAIR??? USED
very fair
 
Nawajulisha tu, Google Pixel 7 pro imezidiwa kamera na simu zifuatazo
Xiaomi 12S Ultra
Xiaomi 13 pro
Apple iPhone 14 Pro Max
 
Swala la pixel kupungua ubora baada ya mda ni kweli???
Kiukweli mi sijui kwa sababu sijawahi tumia hizo simu
Lakini naona tu Google Pixel ni miongoni mwa simu zinazosifiwa kwenye durability, suala la kupungua ubora baada ya muda mfupi mimi sijui kwa kweli.
Binafsi hizi simu naziamini 100% na sidhani kama hizo tuhuma ni za kweli
Kwenye mambo kama haya ukimuuliza CHIEF MKWAWA anaweza kuelezea vizuri na sababu zake.
 
Swala la pixel kupungua ubora baada ya mda ni kweli???
Ndugu duniani simu watu wanaotaka kumtoa Iphone kwenye reli ni google hili wamelithibitisha kwenye simu yao mpya ya pixel 7 pro. Google wanamiliki Android na ndio wanaoshinikiza matumizi ya type c kwa simu zote zinazokuja. Ukiona mtu anataja samsung, iphone, xiaomi kwenye kundi moja na pixel huyo hajui GOOGLE ni wakina nani na Mission yao ni nini.

Currently ni vita kati ya IOS (Apple) na Android (google) hawa wengine wanasindikiza baada ya miaka 2 hutasikia iphone kama unavyosikia sasa
 
Google Pixel ni simu nzuri sana lakini usipotoshe watu kwa kukandia Samsung, iPhone na Xiaomi mbele ya Google Pixel.
Fuatilia tu mwenyewe kwenye battle ya Samsung Galaxy S22 Ultra Vs iPhone 14 Pro Max Vs Xiaomi 13 Pro Vs Google Pixel 7 Pro, utagundua kuwa Google Pixel ndio ataibuka wa mwisho hapo
Hizo iPhone 14 Pro Max, Galaxy S22 Ultra na Xiaomi 13 Pro zote zinaweza kurekodi video katika resolution ya 8K lakini hiyo Google Pixel 7 Pro unayoisemea inaishia 4K.
Pia kamera za Xiaomi 13 Pro na iPhone 14 Pro Max zote ziko juu ukilinganisha na Google Pixel 7 Pro, kikubwa tu kwenye hiyo Pixel 7Pro ni kwamba inarekodi 4K hadi kwenye selfie camera, na hiko kitu hata iPhone 14 Pro Max inafanya.
Google Pixel 7 Pro inatumia chipset ya Google Tensor G2 ambayo ni weak ukilinganisha na Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 ambayo inatumiwa na Xiaomi 13 Pro kwa hiyo Xiaomi 13 Pro ni stonger na faster kuliko Google Pixel 7 Pro.
Samsung, iPhone na Xiaomi wana simu zenye 1TB storage, Google Pixel kaishia 512GB. Angalia Xiaomi Mix Fold 2, ina mpaka 1TB
Google Pixel anajivunia sana kamera ila safari hii amepitwa na iPhone na Xiaomi.
Sasa uspecial wa Google Pixel ni nini ukilinganisha na Samsung, iPhone na Xiaomi[emoji38][emoji38]
 
Umemaliza kila kitu
 
Umemaliza kila kitu
We take the throne after one year, if dont see xiaomi it might be in the TECNO group
Screenshot_20230106-132308.jpg
 
Back
Top Bottom