Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,107
- 53,624
Still childishNaona mnavyohangaika kutafuta support, inaonesha kabisa dawa imewaingia kunako[emoji38][emoji38]

Hakuna kama iphone kwenye video quality mzee.Kwa picha Pixel anatisha, sikatai. Vipi kuhusu video quality
Tatizo Google Pixels zimebase kwenye kamera na software lakini ukija huku kwingine kote anafunikwa na Xiaomi. Tena kwenye kamera ni tie, hakuna mshindi.
Halafu habari za kutumika China hapa hazihusiki, hata Bongo unatumia fresh tu ingawa ni Chinese version, global inaweza toka mwaka huu labda, sijui maana AliExpress nimeziona global version. Mimi ninachotaka ni battle tu Xiaomi 13 Pro vs Google Pixel 7 Pro, ipi ni simu kali all rounder
Hujaelewa bado.Halafu mkuu Bavaria unaita Xiaomi takataka wakati Xiaomi 13 Pro ni kali kuliko Samsung Galaxy S22 Ultra na hiyo Google Pixel 7 Pro. Nadhani umekariri bob
Mimi nainachotaka sio ubishi, nataka wewe uende google uzishindanishe Xiaomi 13 Pro vs Google Pixel 7 Pro. Usilete hiyo list kwa sababu haipo fair. Compare products mbili wewe mwenyewe au kupitia review za watu (COMPARISON sio LIST)
Hizo list zimekaa kishabiki, halafu suala la kusema simu ni tatu tu iPhone, Samsung na Google Pixel hiyo ilikuwaga zamani si sasa tena kwa hiyo usikariri, tunatakiwa kujiupdate kila mara competition katika technology inavyochange.
Sasa mkuu ww kwa nini unaforce tutumie hiyo list wakati unajua kila website inajitengenezea list kulingana na mapenzi yake? Na unajua globally, Xiaomi haijawa popular kutokana na poor marketing hivyo kwenye baadhi ya list hawapendi kuziconsider kutokana na kwamba availability yake sio kubwa kama hizo brand nyingine.
- Xiaomi 13 Pro inarekodi 8K videos kwenye kamera, Google Pixel 7 Pro inarekodi mwisho 4K tu, kwenye video quality mshindi ni Xiaomi, picture quality mshindi ni Google Pixel
- Kwenye perfomance hakuna ubishi, chipset ya Google Tensor G2 ya kwenye Pixel 7 Pro ni weaker kuliko Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 ya Xiaomi 13 Pro, tena tofauti kubwa ndo ipo hapa. Hata AnTuTu score za Xiaomi 13 Pro ni kubwa na zinazidi 1,200,000 points wakati Google Pixel 7 Pro points zake zinarange around 800,000, kinachoiangusha Pixel ni hiyo chipset
- Kwenye display, comparison zinaonesha display ya Xiaomi 13 Pro ni ya higher quality kuliko ya Google Pixel 7 Pro
Pia kwenye list iliyoletwa unapaswa ushangae tangu lini oppo imeishinda Xiaomi[emoji38][emoji38]
Nimekuona kwenye comment ukisifia 13 Pro kwa kudhani kuwa ni iPhone bila kujua kuwa ni Xiaomi[emoji23][emoji23] Hii inaonesha kuwa Xiaomi ni simu nzuri na umezikubali, ila huwezi sema mbele ya watu kutokana na hali ilipofikia kwenye hii thread kwa sasa[emoji28][emoji28] ila walau moyoni dawa imeingia.
Halafu nina swali la mwisho moja tu "HIVI MKUU KWA NINI UNAOGOPA KUJIKITA KWENYE COMPARISON YA HIZI SIMU MBILI BADALA YAKE UNATAKA TUONGELEE LIST YAKO? KAMA KWELI UNAJIAMINI KABISA KWAMBA HIZO NDIO SIMU BORA DUNIANI KWA SASA MBONA SASA UNAOGOPA HIYO BATTLE?[emoji38][emoji38]
Sijaongelea iPhone hapaHakuna kama iphone kwenye video quality mzee.
Kujaza maspecs makubwa haimaanishi simu yako itatoa end results nzuri.
Kuna masimu yana specs za kufa mtu kwenye camera ila end results zinatsikitisha.
Basi naomba unilistie mambo ambayo Google Pixel 7 Pro imeizidi Xiaomi na mimi nikutajie Xiaomi 13 Pro imeizidi nini Google Pixel 7 ProHujaelewa bado.
Kuwa na specifications kubwa sio guarantee kwamba simu yako itakuwa the best.
Kuna simu zina the highest specifications na zinatoa boko kwenye camera.
Nilikwambia toka mwanzo, sahivi mwenye the best softwares in image processing ndo ataonekana ana camera nzuri.
Apple na Google Pixel hapo ndo wanapowapigia makampuni mengine kwenye hiyo department.
Kuwa na chip yenye jina kubwa kwenye simu yako ni useless kama haijawa optimized na all components na mostly na software yako.
Apple anatengeneza chip zake na anatumia ios ambayo ni yake, iphone by far zinaonekana well optimized kwenye kila department. Google amekuja na chip yake baada ya kuona magic apple anayoipata. Tensor chip ipo optimized na camera, android software tena stock.
Sasa hao kina Xiaomi wanaokota chip toka snapdragon, software toka android, camera toka leica unategemea awashinde wanaooptimize simu zao from ground up?
Mfano mzuri ni blind smartphone camera test inafanyw ana mkbhd, kwa miaka mitatu kama sio minne google amebeba. Tena camera zake hazina specifications kubwa kama za hao anaoshindana nao. Unadhani ni kwanini? Image processing software.
Likn hizo hapo.
1. Android Central's Best of 2022 Awards
2. What's the best Android phone? We tested hundreds, here are our top 8
3. Top Phones for 2023
4.
6.
7.
8.
9. The best phone to buy right now
10. The Best Android Phones Of 2022
11. https://www.consumerreports.org/smartphones/best-smartphones-of-the-year-a7852223918/
Na ubora wa simu unapimwa na watumiaji kwasababu wao ndo wanakutana na changamoto kila siku. Pixel 6 ilivyotoka ilikuwa na matatizo chungu mzima ila on paper ilikuwa inaonesha ni simu bora.
Kuna mwaka Samsung alitoa masimu mabovu tena flagships, ila on paper specs za kufa mtu.
Kujaza specifications hakufanyi simu iwe bora au itoe end results bora.
Xiaomi ni midrange phone company, anajitutumua ila bado sana kufika levels za kina Samsung na Apple.

Kwa akili yako unadhani kwakuwa simu imewekwa ram ya 16gb itakuwa the best kwenye user experience kuliko yenye 8gb?Basi naomba unilistie mambo ambayo Google Pixel 7 Pro imeizidi Xiaomi na mimi nikutajie Xiaomi 13 Pro imeizidi nini Google Pixel 7 Pro
Bado naona unalazimisha zaidi list, wakati mimi nataka tulinganishe hizi simu mbili kwa facts.. Yaani mkuu unasababisha niiponde bure tu moja ya brands ninazozikubali
Xiaomi 13 Pro ni kali kuliko Google Pixel 7 Pro karibia kila kona. Tushindanishe hizi simu mbili sasa wewe unaniletea mimi mambo ya awards [emoji23][emoji23] yanahusianaje?
Xiaomi anatumia kamera ya LEICA, kioo cha Samsung, OS ya Google, chipset ya Qualcomm na software yake mwenyewe ila natoa simu kali kuliko huyo Pixel anayejitegemea[emoji23][emoji23]. Kwani shida iko wapi hapo, cha msingi atoe simu kali tu.
By now Google Pixel ni ushuzi mbele ya Xiaomi
Halafu umetiririka wee, mwishoni unasema Xiaomi hatoifikia Samsung na Apple halafu hujatoa sababu za msingi[emoji23][emoji23] au ndio technic ya kusaka support kutoka kwa wadau wa Samsung na iPhone[emoji38][emoji38]
Umeshindwa kuitetea Google Pixel kwa facts, sasahivi unatafuta support kwa wadau wa Samsung na Apple.
Hapa Google Pixel haipaswi kutembelea nyota za Samsung na Apple, battle ibaki palepale Xiaomi vs Google Pixel[emoji41][emoji41]
Kama unadhani kujaza specs ndo kunafanya simu iwe bora basi you are still a toddler in this area.Basi naomba unilistie mambo ambayo Google Pixel 7 Pro imeizidi Xiaomi na mimi nikutajie Xiaomi 13 Pro imeizidi nini Google Pixel 7 Pro
Bado naona unalazimisha zaidi list, wakati mimi nataka tulinganishe hizi simu mbili kwa facts.. Yaani mkuu unasababisha niiponde bure tu moja ya brands ninazozikubali
Xiaomi 13 Pro ni kali kuliko Google Pixel 7 Pro karibia kila kona. Tushindanishe hizi simu mbili sasa wewe unaniletea mimi mambo ya awards [emoji23][emoji23] yanahusianaje?
Xiaomi anatumia kamera ya LEICA, kioo cha Samsung, OS ya Google, chipset ya Qualcomm na software yake mwenyewe ila natoa simu kali kuliko huyo Pixel anayejitegemea[emoji23][emoji23]. Kwani shida iko wapi hapo, cha msingi atoe simu kali tu.
By now Google Pixel ni ushuzi mbele ya Xiaomi
Halafu umetiririka wee, mwishoni unasema Xiaomi hatoifikia Samsung na Apple halafu hujatoa sababu za msingi[emoji23][emoji23] au ndio technic ya kusaka support kutoka kwa wadau wa Samsung na iPhone[emoji38][emoji38]
Umeshindwa kuitetea Google Pixel kwa facts, sasahivi unatafuta support kwa wadau wa Samsung na Apple.
Hapa Google Pixel haipaswi kutembelea nyota za Samsung na Apple, battle ibaki palepale Xiaomi vs Google Pixel[emoji41][emoji41]
Bado hakuna simu ya kuilaza brand ya iPhone, mi mwenyewe sio mtumiaji wa iPhone, Ila mpak sasa iPhone ndo simu, labda mwaka kesho ndo itaanguka
DXO Mark Rankings hizo.Basi naomba unilistie mambo ambayo Google Pixel 7 Pro imeizidi Xiaomi na mimi nikutajie Xiaomi 13 Pro imeizidi nini Google Pixel 7 Pro
Bado naona unalazimisha zaidi list, wakati mimi nataka tulinganishe hizi simu mbili kwa facts.. Yaani mkuu unasababisha niiponde bure tu moja ya brands ninazozikubali
Xiaomi 13 Pro ni kali kuliko Google Pixel 7 Pro karibia kila kona. Tushindanishe hizi simu mbili sasa wewe unaniletea mimi mambo ya awards [emoji23][emoji23] yanahusianaje?
Xiaomi anatumia kamera ya LEICA, kioo cha Samsung, OS ya Google, chipset ya Qualcomm na software yake mwenyewe ila natoa simu kali kuliko huyo Pixel anayejitegemea[emoji23][emoji23]. Kwani shida iko wapi hapo, cha msingi atoe simu kali tu.
By now Google Pixel ni ushuzi mbele ya Xiaomi
Halafu umetiririka wee, mwishoni unasema Xiaomi hatoifikia Samsung na Apple halafu hujatoa sababu za msingi[emoji23][emoji23] au ndio technic ya kusaka support kutoka kwa wadau wa Samsung na iPhone[emoji38][emoji38]
Umeshindwa kuitetea Google Pixel kwa facts, sasahivi unatafuta support kwa wadau wa Samsung na Apple.
Hapa Google Pixel haipaswi kutembelea nyota za Samsung na Apple, battle ibaki palepale Xiaomi vs Google Pixel[emoji41][emoji41]
unatka useme Huawei sio brand kubwa?Simu kubwa duniani ni 3 tu.
1. Iphone
2. Pixel
3. Samsung
Ukiona simu ikitoka hata watu hawaiwazi wala kuhangaika nayo ujue bado sana. Hata ijazwe flagship features gani.
kabla ya pixel top 3 zilikuwa ni simu gani? mbona utafikiri Huawei mnadharau au kisa alipigwa ban?Bora kaka maana nimechoka kutype
safi..Mkuu iPhone haijawahi kukaa juu ya Samsung ila Iliana kuwa ya tatu ikapigwa chini na Huawei
Kumbe hadi leo unafuatilia DXO Mark Rankings[emoji23][emoji23], hao jamaa wana upendeleo na hivyo hutengeneza list ambazo hazina mantikiDXO Mark Rankings hizo.
Huyo Xiaomi wako hajakatiza popote pale.
Google pixel ametokea kwenye category kadhaa.View attachment 2472382View attachment 2472383View attachment 2472384View attachment 2472385View attachment 2472386
Hata Sony ni brand kubwa kuliko Xiaomi lakini Xiaomi anatoa simu kali kuliko Sonyunatka useme Huawei sio brand kubwa?
Wewe kwa uelewa wako wa simu hadi sasa, ukiangalia hizo list za Android Authority na Android Central unaona zinamake sense[emoji38][emoji38] Yaani hata mkulima kutoka Bukoba ukimuonesha hii list atashangaaKama unadhani kujaza specs ndo kunafanya simu iwe bora basi you are still a toddler in this area.
Link zote zimeonesha simu bora za mwaka 2022.
Google pixel ametoboa kote huko.
Hiyo Xiaomi yako mbona haijaonekana hata sehemu moja??
Android Authority wametoa simu bora za 2022 Xiaomi hayupo.
Android Central wametoa simu bora za 2022 Xiaomi hayupo.
Hiyo Xiaomi yako ipo wapi.?
kwahiyo xiaomi anamzidi Huawei?Hata Sony ni brand kubwa kuliko Xiaomi lakini Xiaomi anatoa simu kali kuliko Sony