Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

ukiwa online unaitumia ama umewasha tu data halafu haupo online ndo inamaliza hyo masaa?
Gsmarena walishafanya test ya ukaaji wa chaji wa Google Pixel 4 ikiwa mpya na kuipa endurance rating ya 62hrs ambayo ni rating ndogo sana kwa battery ndani ya mwaka huu 2023. Results za Google Pixel 4 battery test za gsmarena ni
Kuongea na simu (3G).... Masaa 20 na dakika 54
Kubrowse mtandaoni/online.... Masaa 9 na dakika 35
Kuangalia videos.... Masaa 11 na dakika 16.
Nunua mpya achana na refurbished kabisa. Au kama unataka simu inayokaa na chaji sambamba na kamera nzuri kuna option kutoka makampuni mengine Tena simu za miaka ya karibuni.
 
Mpya wengi hatuwezi laa sivyo mishahara ya miezi 4 ndo ukanunue hiyo.
 
Gsmarena walishafanya test ya ukaaji wa chaji wa Google Pixel 4 ikiwa mpya na kuipa endurance rating ya 62hrs ambayo ni rating ndogo sana kwa battery ndani ya mwaka huu 2023. Results za Google Pixel 4 battery test za gsmarena ni
Kuongea na simu (3G).... Masaa 20 na dakika 54
Kubrowse mtandaoni/online.... Masaa 9 na dakika 35
Kuangalia videos.... Masaa 11 na dakika 16.
Nunua mpya achana na refurbished kabisa. Au kama unataka simu inayokaa na chaji sambamba na kamera nzuri kuna option kutoka makampuni mengine Tena simu za miaka ya karibuni.

Kampuni nayo ona ina midrange phones kwa hali zetu wabongo camera,strong battery,network speed[emoji736],processor nzuri ni redmi naona wapo vizuri
 
Yes... wapo vizuri sana ingawa Redmi ni brand name, ila jina la kampuni ni Xiaomi na Redmi ni brand yao inayotoa simu za bei rahisi zaidi kwenye kampuni hiyo
 
Users ni marketing tosha huna haja ya kuwa na stores over the world to have the best camea or user interface.

Apple hana stores tanzania ila mauzo ya iphones tanzania yanaongezeka kila kukicha iwe used or brand new.

Apple anauza the overall user interface.

Samsung anauza the best display in the industry

Google pixel anauza the best camera.

Xiaomi anauza nini?
Mkuu, niliisahau kukuonesha hii kitu. Kuwa world's biggest smartphone brands inaanza Apple, Kisha Samsung then Xiaomi ndio wengine wanafuatia. Hicho tu.
Screenshot_20230227-153320.jpg
 
Naskia hizi simu zinatabia ya kuzima ghafla tuu na ndo inakua mwisho wake

Kuna ukweli kiasi gani?
 
Back
Top Bottom