MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,076
- 3,559
Nilitegemea mkuu ungesema nimefanya innovation km hio Pix ningekusifia sn lkn km bado tunasifia vya wamerekani/wachina sisi bado sana.Achana na hii kitu, kama una bajeti ya kununua iphone 11 au 12 please pita kwanza uchukue pixel halafu ukirudi tena kwenye iphone niite mbwa nimekaa paleee
View attachment 2380916View attachment 2380917