Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

Niliwahi kuona hiyo battle youtube ya google pixel, samsung s21 na iphone 13 pro max upande wa camera. Samsung aliibuka mshindi japo wengi tulitarajia Google angeshinda.

Samsung anakupa kila kitu unachohitaji ktk simu, ila kwa ubora wa simu, ofkoz Iphone ni mzuri zaidi.



hii hapa ni video fupi instagram pixel 7pro hiyo hapo yaani sijui hata imefanya utumbo gani.
iphone 11,12,13,walisumbua sana kwenye video,ila s21 samsung ikaja na mabadiliko ya selfie video ya samsung inafanya kampuni nyingine zionekane zinacheza.
 
Habari ziwafikie
PXL_20221117_192047184.jpg
 
Hivi huvuti bangi kweli ni kipi hapo kilicho mzidi note 10 plus sana sana naona note 10 plus ndio iko juu kwa kila kitu hapo

Jamaa arudi shule Samsung kapigwa seem nyingi tu iyo note 10plus za Dubai sijui china chakwanza zinaishia android 12 labda sijui original version yake ya Korea itakuwa labda inaenda Hadi 13 ila pixel 4xl kupanda juu inakubali android 13
Lakini hii comparison sio ya haki, note 10 ni simu ya 2019 vs pixel 5 ya 2021 kweli?
 
Kwenye performance ya simu kiujumla iPhone yupo juu anafata Samsung one plus xiaomi halafu pixel ila kama ni kwa upande wa kamera tu pixel juu ya hao wote ni moto wa kuotea mbali na ile artificial intellegent yao ni moto sika japo kwa kuazima pixel 6 pro utaikubali sana
Sasahivi Google Pixel 7 pro imepitwa kwa kamera na Xiaomi 12S Ultra na Xiaomi 13 pro
Hizi Xiaomi nilizozitaja zamekuja na features nyingi sana kuliko simu nyingine hii ni kwa sababu imecombine features za Xiaomi na zile za LEICA kwa pamoja. Xiaomi ni moto[emoji95][emoji95] Sasa Pixel kashushwa na Xiaomi kwenye picha
China feels proud of Xiaomi [emoji7][emoji7]
 
Full box 750 k mpaka 800k
Used 700k kitu kama hicho

Kama una budget ndogo unaweza kuchukua pixel 4 xl used ni 500k mpya 650 k hii nayo ni hatari tabu iko pale pale
used tunapata wapi kwa dsm mkuu,
 
Inabidi ushituke kwenye hiyo list "iPhone 13" ipo ila "iPhone 13 Pro Max" haipo
Anyway, List bila Xiaomi, hakuna kitu

yaani linapokuja swala la simu bora wenzako wanaangalia hivi.

performance/price.

sasa wale akina 13pro max,s22 ultra wanatolewa hapo sababu perfomance ni kubwa ila bei nayo ni ya mbavuni.
 
yaani linapokuja swala la simu bora wenzako wanaangalia hivi.

performance/price.

sasa wale akina 13pro max,s22 ultra wanatolewa hapo sababu perfomance ni kubwa ila bei nayo ni ya mbavuni.
Ukizingatia perfomance na price kwenye kutengeneza list ya simu basi hiyo list siyo list ya "best phones". Hiyo list ni ya "best phones to buy".
Hata ukisema uangalie perfomance na price, basi hapo namba moja kabisa ilipaswa iwe "Motorola Moto X30 pro", Pia Xiaomi 12S Ultra ni value for money kuliko hayo magoogle pixel na maiPhone aliyoyatapika hapo juu. Hususani hiyo iPhone 13 ya milioni mbili halafu bado kioo kina refresh rate ya 60Hz, unadhani hiyo ni value for money?
List ya ovyo sana hii
 
Back
Top Bottom