Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 16,293
- 37,668
[emoji3][emoji3][emoji3] mkuu uchumi tu ndo shida..Nakumbuka zaman nilikuwa na mawazo kama ya mleta mada, ila baada ya kupata hela na kununua iphone Xr kipind kile ndio nikajua kumbe umaskin unaleta chuki..
Mi saiz nataka nijichange angalau nipate ladha halisi ya simu.