Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

Kwenye performance ya simu kiujumla iPhone yupo juu anafata Samsung one plus xiaomi halafu pixel ila kama ni kwa upande wa kamera tu pixel juu ya hao wote ni moto wa kuotea mbali na ile artificial intellegent yao ni moto sika japo kwa kuazima pixel 6 pro utaikubali sana
 
Sababu kuu ya huu uzi kufikisha post zaidi ya 250+ ni kukosekana kwa wataalam wa hizi mambo. Hii tabia ya kusifiasifikia kitu kwa kuwa tu umenunua bila kunua ubora ni mbaya sana.
Ndugu zangu Chief-Mkwawa na reyzzap kuna watu wanatamba hapa jukwaani na mnawaacha wanalisha watu matango pori, eti wanafananisha iphone na smartphone za kawaida.
Pixel 5A ni midrange huwezi ifananisha na Highend kama Iphone ama Samsung S series etc.

Highend ya Pixel ni kama Pixel 6 pro ama 7 pro.

Nimejibu tu comment yako sijasoma comment za nyuma zinahusu nini.
 
Achana na hii kitu, kama una bajeti ya kununua iphone 11 au 12 please pita kwanza uchukue pixel halafu ukirudi tena kwenye iphone niite mbwa nimekaa paleee

View attachment 2380916View attachment 2380917
IMG_20221030_223236.jpg
 
Enyi wataalamu nieleze I tofauti ya android na pixel
 
[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf ina watu jaman, nimecheka sana daah...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwenye kila uzi hawakosagi watu kama hao.
 
Hizo simu naziuza boss, primary situmii cause kila nayoshika naipiga bei, brand zingine ni kujaza megapixel kwenye Camera na Ram nyingi, Ila efficiency still ni changamoto, iPhone simu zao ni quality Sana, mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni.
Hata iphone nae anapandisha hizo RAM, Camera na Storage.
 
Back
Top Bottom