Samsung kitu kingine kwenye eneo la kioo.Naomba kujua mzee hivi hizo google pixel now kwa 5 kuendelea wameboresha display ya kioo ikawa nzuri kama samsung
Samsung kitu kingine kwenye eneo la kioo.Naomba kujua mzee hivi hizo google pixel now kwa 5 kuendelea wameboresha display ya kioo ikawa nzuri kama samsung
Mbali na camera kuna kingine cha kumpambanisha S22 na pixel 7 pro?chukua samsung 21 ultra na 22 ultra bado hufikii pixel 7 proView attachment 2390909
Anachofanya jamaa sasa ni mzaha. Hiyo S22 ni mziki mwingine.Ut
Endelea na hayo maigizo wakamate wa kuwakamata maana sishangai Watanzania kuwa Wadanganyika kila kukicha...
Niliwahi kuona hiyo battle youtube ya google pixel, samsung s21 na iphone 13 pro max upande wa camera. Samsung aliibuka mshindi japo wengi tulitarajia Google angeshinda.msifananishe samsung na vitu vya hovyo bana.
google kaingia sokoni rasmi na simu yake pixel xl 2016 ikiwa ndio simu inayochapa camera kuliko samsung.
lakini hajawahi kufurukura kwenye market share,pamoja na kwamba ni mtoto wa nyumbani.
ukitaka simu bora kwa kila kitu tutakwambia nenda IOS ukachukue iphone.
lakini ukitaka simu yenye kila sifa tutakwambia nenda korea kachukue samsung.
pixel 7 itakohoa kwenye camera tena upande wa picha tu,ila sehemu nyingine itapigwa kwa mbali tu.
Ha ha ha haya sasa ni matusi.Asee, tumsaidie na kijana mwezetu apate 1.5M anunue hata 11 Pro ajionee tofaut ya Simu na calculator yake ya google pixel
Hii hatariNight sight ya pixel 3axl em iphone jitokezen tuwekeane battleView attachment 2393849
Acha tuDuuh na hii ni 3axl je iyo 6 itakuwaje[emoji3][emoji91][emoji91]
Ha ha ha haPixel 6 pro is better than iphone 13 . Narudia tena in today's world of smart phones watu wanataka
1. Good quality camera (its all about pictures)
2. Simplicity (no limits)
3. Design (look)
4. RAM
5. Battery life
Kwenye hayo maeneo hapo juu ni kipi iphone 13 wamemshinda google pixel 6 pro? hakunaView attachment 2393979
Nimegoogle mkuu, si mchezooo.Ni balaaa Pixel 6 Ina kitu inaitwa telephoto kagoogle kazi yake uje uwashuhudie Wana iphone.
Refreshment rate and battery lifeMbali na camera kuna kingine cha kumpambanisha S22 na pixel 7 pro?
Wakishiba wanaandika chochote..Anachofanya jamaa sasa ni mzaha. Hiyo S22 ni mziki mwingine.
Nadhan watu wangekua wanapitia review wangekuelewachukua samsung 21 ultra na 22 ultra bado hufikii pixel 7 proView attachment 2390909
Kwenye kioo ndo hapo samsung alipotuweza. Huwa sitamani kutoka nje ya samsumg, display zao ni moto.Iphone 11 walibuki Ile ni 7+ ilio changamka Ila ukiniwekea 11 na xs nachukua xs kwanza ugonjwa wangu mkuu wa simu iwe na display kaliii Yani AMOLED,OLED,p oled nna Bora nibaki na kitochi kuliko kutumia simu yenye LCD display
Vioo vyao naona km havikawii kuweka mistariKwenye kioo ndo hapo samsung alipotuweza. Huwa sitamani kutoka nje ya samsumg, display zao ni moto.
Samsung waigeGoogle kwenye night sight ndio wameweza soon kampuni nyingine zitaiga tu.
Muanzilishi wa night sight ni google tusibiri makampuni mengine wailete hiiSamsung waige
Uyu ndio mbongo sasa ..apo anasikia tuu kwa watu 🤣🤣Sasa ndugu hutumii iphone lakini unaielezea kuwa bora how do you know that my friend?