Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

wewe unataja taka taka kwenye list ya pixels yaani unaongelea one plus na p40 kwenye ulimwengu wa pixel? Are you serios bro? unafananisha taka taka na Android ya kwanza kupokea Android 13 na newly security updates? bro hujui simu, unajua telephoto ni nini? au basi
Nazikubali sana pixel ila kuziita p40 pro na one plus 10 takataka inabidi ukae chini na kujitafakari mkuu,u r wrong
 
Yani iphone Hadi ajitegemee bado sana na Leo designer wao Evans Hankey ameacha kazi na Apple Hadi Sasa hawajatangaza mrithi ajaye.

Shekhe kuna website na app tunazitumia dunia zima apple kujitegemea anakitengemea kitambo tu na pia watumiaji wa apple tunai enjoy kinoma noma ila watumiaji wa android ndomnakeleka mlianza kushindanisha na Samsung mkaona ngoma ngumu now mnakuja na pixel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi tumekaa pale sasa chukua pixel 2 ya 2017 na chukua iphone 6s ziweke pamoja ndounajua hujui sisi wagereza la kifahari tuna pata raha sana kila siku tunashindanishwa
 
Nazikubali sana pixel ila kuziita p40 pro na one plus 10 takataka inabidi ukae chini na kujitafakari mkuu,u r wrong
Kwanza Kabisa p40 android 10 mwisho pixel mpaka 13 the rest angalia chini
Screenshot_20221022-082326.jpg
 
Kwanza Kabisa p40 android 10 mwisho pixel mpaka 13 the rest angalia chiniView attachment 2394314

Shekhe mimi siangalii android 13 mbona unaongea utumboo mtupu kwaiyo kumbe tecno camon 19 ni bora kuliko samsung note 9 kisa camon 19 ina android 12 na note 9 mwisho android 10 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli ushamba ni mzigo wewe umesifia pixel 6 kwamba ina telephoto kali ebu fafanua nini maana ya telephoto alafu tafuta mtu mwenye the king of the smartphone zooms
 
Kwanza Kabisa p40 android 10 mwisho pixel mpaka 13 the rest angalia chiniView attachment 2394314

Nadhani hapo kwenye bei umejionea mwenye simu ya 2020 inaizidi bei flagship ya 2022 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena mbali sana tena nakupa home work tafuta p40 pro na pixel 6 pro alafu zifanyie reviews wewe kama wewe unajuaa na maanisha nini hapa
 
Pixel 6 pro is better than iphone 13 . Narudia tena in today's world of smart phones watu wanataka

1. Good quality camera (its all about pictures)
2. Simplicity (no limits)
3. Design (look)
4. RAM
5. Battery life

Kwenye hayo maeneo hapo juu ni kipi iphone 13 wamemshinda google pixel 6 pro? hakunaView attachment 2393979
Kwa hiyo iPhone inamkondesha mtu?
 
M naamini saii unaiita android calculator ila si ajabu ulitokea huko labda nikufahamishe kitu hao hao Apple wanatengenezewa display na Samsung ambao ni android unazoziita calculator bado Apple mnaendelea kutumia search engine ya android ambayo ni google[emoji2] na mpaka sasa Duniani haijatokea search engine ya kuifikia google Apple walitangaza kuachana na google lakini Hadi Leo ipo humo kwenye safari[emoji706]
@mzeemkavu embu kubali kwanza hapa mwenzio anasema android ni calculator lakini bado kuna baadhi ya vitu wanategemea kwenye kampuni za android
 
Huawei ndoalikuwa mshindani wa iphone kwenye soko la marekani bila kufungiwa leo tungekuwa tunaongea mengine hapa p40 pro hi simu inaitwa the king of the smartphone zooms alafu unafananisha na kitu amacho hakija onesha maajabu ebu tafuta maana ya telephoto kwanza
Kwaiyo pixel Haina telephoto?
 
@mzeemkavu embu kubali kwanza hapa mwenzio anasema android ni calculator lakini bado kuna baadhi ya vitu wanategemea kwenye kampuni za android

Niujuaji mwingi bila kufanya review za simu nakujua uwezo kiufupi android zipo vizuri nawengi tunatumia iphone kwakuwa hazishuki thamani kiolela olela ila kama samsung S22 ultra ni jini la simu zote kwenye soko kwanza kwakuwa tu huawei kachapa na mabepari
 
Kwaiyo pixel Haina telephoto?

Shekhe nimempa huyo homework nasubiria majibu asilimia kubwa kwasasa kila simu ina telephoto
IMG_3126.jpg

IMG_3125.jpg

Hizi picha zimepigwa na mtanzania mwenzetu mitaa ya gerezani with huawei p40 pro 5G simu ya 2020 anaitwa james munisi nampana hongera sana kwakutupa picha inayo onesha kazi halisi ya telephoto
 
Shekhe nimempa huyo homework nasubiria majibu asilimia kubwa kwasasa kila simu ina telephoto View attachment 2394474
View attachment 2394475
Hizi picha zimepigwa na mtanzania mwenzetu mitaa ya gerezani with huawei p40 pro 5G simu ya 2020 anaitwa james munisi nampana hongera sana kwakutupa picha inayo onesha kazi halisi ya telephoto
Hii haiingii kwa pixel pixel ni moto mwingine kwenye camera usiguse mkuu, hizo picha zinatumajivumajivu kwa pixel picha inakua clear sio kawaida

Hapa nilipo natumia pixel
 
TatizO la pixel kadri unavyoitumia kioO kinatengeneza ukungu ambao hautoki yaan hapo tu ndio inaponichosha pixel, ni simu Kali ila ikianza kutengeneza ukungu

Kwenye hii sehemu ndo iphone anatawala kinoma kunamtu anatumia iphone 6 2014 na anatamba bila shida wakati kuna pixel ya 2016 hakuna anaeizungumzia hapa kila mtu anaaza kuzungumzia 3a. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii haiingii kwa pixel pixel ni moto mwingine kwenye camera usiguse mkuu, hizo picha zinatumajivumajivu kwa pixel picha inakua clear sio kawaida

Hapa nilipo natumia pixel

Shekhe ivi unaelewa maana yahizo picha ebu tafuta hiyo pixel kwanzia 1 mpaka 6 pro piga picha kama hizo alafu zilete hapa usituletee story za kwenye ghahawa hapa lete picha hizo clear [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom