Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

[emoji44][emoji23][emoji23] Unataka ligi wewe si umesema unataka za usiku km huyo Jamaa yako au sijakuelewa vizuri?

Kinachowezekana leo kisingoje? Kesho wahenga wanamaana sana
IMG_3128.jpg

IMG_3127.jpg
 
Shekhe nimempa huyo homework nasubiria majibu asilimia kubwa kwasasa kila simu ina telephoto View attachment 2394474
View attachment 2394475
Hizi picha zimepigwa na mtanzania mwenzetu mitaa ya gerezani with huawei p40 pro 5G simu ya 2020 anaitwa james munisi nampana hongera sana kwakutupa picha inayo onesha kazi halisi ya telephoto
Huyu SI yule njiwa wa flow yupo Twitter
 
Kweli unakurupuka shekhe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shule muhimu sana ebu kakojoe ukalale huko aje mwingine ambae anaelewa namaanisha mimi
Wewe picha zako ni chenga hakuna picha hapo watu hawaonekani hao mipicha gani hio unajitia aibu tupu mchana huu, sasa picha gani za kujishindanisha na pixel hizo yaan picha zimejaa ukungu watu hawaonekani vizuri eti unajisifia una camera wewe wa wapi?

Screenshot_20221022-123255.png

Ukungu mtupu haipo clear

Screenshot_20221022-123610.png
 
Niujuaji mwingi bila kufanya review za simu nakujua uwezo kiufupi android zipo vizuri nawengi tunatumia iphone kwakuwa hazishuki thamani kiolela olela ila kama samsung S22 ultra ni jini la simu zote kwenye soko kwanza kwakuwa tu huawei kachapa na mabepari
Ivi unafaham sababu iphone simu zao hazishuki thamani na unapoichoka unaweza fanya top up na simu yoyote Ile.

Kwanza ni simu ambazo hazina muda ni 2009 tu ndio walitoa Toleo la kwanza so series zao SI nyingi tofaut na Samsung Wana series zaidi ya 64 Hadi Sasa...

Pia apple simu zao ziko branded kwa muda mrefu katika masoko Yao na hawatoi toi miendelezo kiholela kama Samsung labda niseme Hawana series tofaut tofaut mfano Samsung Wana ,S,note, J,A,M,series na zinginezo sijazitaja ukiitaji kuziona ingia GSMARENA zipo.
 
Pixel kwenye kamera ni hatari
mtajua wenyewe
pixel ya 300k kwenye kamera inashindana na i phone 11 hutaki tunaleta ushahidi hapa
Iphone 11 walibuki Ile ni 7+ ilio changamka Ila ukiniwekea 11 na xs nachukua xs kwanza ugonjwa wangu mkuu wa simu iwe na display kaliii Yani AMOLED,OLED,p oled nna Bora nibaki na kitochi kuliko kutumia simu yenye LCD display
 
Ivi unafaham sababu iphone simu zao hazishuki thamani na unapoichoka unaweza fanya top up na simu yoyote Ile.

Kwanza ni simu ambazo hazina muda ni 2009 tu ndio walitoa Toleo la kwanza so series zao SI nyingi tofaut na Samsung Wana series zaidi ya 64 Hadi Sasa...

Pia apple simu zao ziko branded kwa muda mrefu katika masoko Yao na hawatoi toi miendelezo kiholela kama Samsung labda niseme Hawana series tofaut tofaut mfano Samsung Wana ,S,note, J,A,M,series na zinginezo sijazitaja ukiitaji kuziona ingia GSMARENA zipo.

Hapa nipo pamoja nawewe ndugu iphone ni brand ila ukiitaji simu android ni best [emoji1488]
 
Basi hujui simu google pixel ni hatar sema iphone ni brand kubwa mpaka ije kuwa na mauzo kama iphone ni miaka kadhaa mbele ,kwa performance google pixel ni namba moja kila kona sema hardware ndo wanazingua ila software ni hatari 🔥🔥🔥

Jaribu mzee utakuja kubadili statement yako
Ebana zinapatikana wapi izo hapa dar
 
Wewe picha zako ni chenga hakuna picha hapo watu hawaonekani hao mipicha gani hio unajitia aibu tupu mchana huu, sasa picha gani za kujishindanisha na pixel hizo yaan picha zimejaa ukungu watu hawaonekani vizuri eti unajisifia una camera wewe wa wapi?

View attachment 2394539

Ukungu mtupu haipo clear

View attachment 2394542

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inaonekana hutumie pixel 6 pro ndomaana huwezi elewa namaanisha nini
 
Back
Top Bottom