Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

Shekhe mimi siangalii android 13 mbona unaongea utumboo mtupu kwaiyo kumbe tecno camon 19 ni bora kuliko samsung note 9 kisa camon 19 ina android 12 na note 9 mwisho android 10 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli ushamba ni mzigo wewe umesifia pixel 6 kwamba ina telephoto kali ebu fafanua nini maana ya telephoto alafu tafuta mtu mwenye the king of the smartphone zooms
Unachekesha huangalii android updates kwahiyo ios 10 inaweza kuwa bora kuliko ios 13 na kuendelea? Nakupa fact nyingine hii Pixel ndio simu ya kwanza ku-update to Android 13 na latest security updates. Nahisi bado huelewi naongelea nini

Alafu lazima ujue kuwa google wamekuja ku-compete kwenye real world phones and flagships usitaje tena TECNO
 
Kumbe kuna wajinga wanaweka pixel na tecno kundi moja
Iphone 11 walibuki Ile ni 7+ ilio changamka Ila ukiniwekea 11 na xs nachukua xs kwanza ugonjwa wangu mkuu wa simu iwe na display kaliii Yani AMOLED,OLED,p oled nna Bora nibaki na kitochi kuliko kutumia simu yenye LCD display
i phone ni simu ya kuelekezea watu njia
kuna mahali kulikuwa na sherehe ilipofika jioni tu
ilibidi wenye simu za mchongo i phone na samsung waweke mfukoni watumie pixel 3xl yangu kupigia picha
 
Unachekesha huangalii android updates kwahiyo ios 10 inaweza kuwa bora kuliko ios 13 na kuendelea? Nakupa fact nyingine hii Pixel ndio simu ya kwanza ku-update to Android 13 na latest security updates. Nahisi bado huelewi naongelea nini

Alafu lazima ujue kuwa google wamekuja ku-compete kwenye real world phones and flagships usitaje tena TECNO

Wewe ndounachekesha tena sana maana hueleweki point yako maana mimi naongelea uwezo wasimu sio kupokea update[emoji23][emoji23][emoji23] mfano pixel 2 xl ina update mpaka android 11 ila samsung note 9 ina mwisho ni android 10 so kwakuwa pixel 2 xl ina android 11 basi nibora kuzidi samsung note 9 shekhe kweli aaaah tusifike huko tafadhali uwezo wakitu upo tu alafu GCAM ni bora ndomaana ukiweza kupata setting zake vizuri kwenye android yenye camera kali shekhe acha tu ila ubora wa huawei p40 huwezi kushusha kisa update shekhe
 
Kumbe kuna wajinga wanaweka pixel na tecno kundi moja

i phone ni simu ya kuelekezea watu njia
kuna mahali kulikuwa na sherehe ilipofika jioni tu
ilibidi wenye simu za mchongo i phone na samsung waweke mfukoni watumie pixel 3xl yangu kupigia picha
Google kwenye night sight ndio wameweza soon kampuni nyingine zitaiga tu.
 
Kumbe kuna wajinga wanaweka pixel na tecno kundi moja

i phone ni simu ya kuelekezea watu njia
kuna mahali kulikuwa na sherehe ilipofika jioni tu
ilibidi wenye simu za mchongo i phone na samsung waweke mfukoni watumie pixel 3xl yangu kupigia picha

Unaongea mada za ghahawa tu shekhe ebu jaribu kufatiria show kubwa za mbele za usiku tu alafu uangalie watu wanaongoza kurecord video na kupiga picha na simu gani ndouongee hivi kiufupi tu tafuta pixel 7 pro , iphone 14 pro , samsung s22 utlra utaona utofauti mdogo sana nakila simu inasehemu ni bingwa kuliko mwingine kwenye sekta yake
 
Kwanini nitafute show kubwa
wewe una akili za kushikiwa kwa kuwa unawaona watu kwenye tv wanafanya hivyo basi
umepewa ubongo tumia sio kwa ajili ya kujaza kichwa
sikia wewe hapo piga kitu chochote kuanzia saa moja usiku na mimi napiga muda huo halafu weka hapa na mm naweka
sitaki blah blah hapa
 
Kumbe kuna wajinga wanaweka pixel na tecno kundi moja

i phone ni simu ya kuelekezea watu njia
kuna mahali kulikuwa na sherehe ilipofika jioni tu
ilibidi wenye simu za mchongo i phone na samsung waweke mfukoni watumie pixel 3xl yangu kupigia picha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini nitafute show kubwa
wewe una akili za kushikiwa kwa kuwa unawaona watu kwenye tv wanafanya hivyo basi
umepewa ubongo tumia sio kwa ajili ya kujaza kichwa
sikia wewe hapo piga kitu chochote kuanzia saa moja usiku na mimi napiga muda huo halafu weka hapa na mm naweka
sitaki blah blah hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli ushamba ni mzigo tena sana shekhe tafuta hela tu yani 3xl [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi nielewa ebu jaribu kushika simu jina lolote ndotuongee yani 3xl kweli ndonabishana nawewe ni sawa sawa mtu kusema toyota V8 ni bora kuliko discovery 5 kisa tu V8 nayo ni luxurious car
 
Daaaaah ushamba mzigo sana huawei p40pro na one plus 10 pro unasema ni takataka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi kweli unazijua simu kweli
 
Kumbe kuna wajinga wanaweka pixel na tecno kundi moja

i phone ni simu ya kuelekezea watu njia
kuna mahali kulikuwa na sherehe ilipofika jioni tu
ilibidi wenye simu za mchongo i phone na samsung waweke mfukoni watumie pixel 3xl yangu kupigia picha

Lamda hawa watu walikuwa na iphone 7/8 na kama ni samsung walikuwa na s8/s9 na kwambali s10 ila uwezi ni shawishi kabisa eti mwenye samsung s22 utrla aweze simu yake mfukoni ila apige picha na pixel 3xl daah jamaa anakambaa za dunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
yani usiku na potrait unaweka
simu za mchongo hauwezi kuweka potrait inakataa
Nilianza na 2xl ilikuwa kama friji au pasi haikai na chaji kabisa nusu saaa unachaji Tena nikaja 3a at least ikawa inamaliza siku nikachukua 3axl hii baba natoa saaa 12 monie nachaji saaa 5 sa nawashangaa wanaosema pixel hazikai nachaji nadhani wataka wanatumia 3 kushuka chini 3axl Ina 3700mah capacity ndogo ila ni Long lasting battery
 
yani usiku na potrait unaweka
simu za mchongo hauwezi kuweka potrait inakataa

Eti simu zamchongo zinakataa potrait sikia simu ya kwanza kuwa na potrait inapiga mpaka night ilikua htc one m8 2014 ya pili nakuongezewa udambwi udambwi ni iphone 7 plus mpaka sasa potrait bora na kali ipo kwenye iphone ila kama unajua kuitumia pia
 
Lamda hawa watu walikuwa na iphone 7/8 na kama ni samsung walikuwa na s8/s9 na kwambali s10 ila uwezi ni shawishi kabisa eti mwenye samsung s22 utrla aweze simu yake mfukoni ila apige picha na pixel 3xl daah jamaa anakambaa za dunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya twende kwa ushahidi ya pixel hii hapa nipe ya kwako uliyopiga na ultra
PXL_20221022_150954202.PORTRAIT.jpg
 
Eti simu zamchongo zinakataa potrait sikia simu ya kwanza kuwa na potrait inapiga mpaka night ilikua htc one m8 2014 ya pili nakuongezewa udambwi udambwi ni iphone 7 plus mpaka sasa potrait bora na kali ipo kwenye iphone ila kama unajua kuitumia pia
Tupigie hiyo kali ya iphone na sisi tutakupigia ya pixel ubishi utakuwa umeisha
 
Picha imepigwa muda huu 06:14 Dar na wewe piga ya kwako sijui p nini tuone

Mimi natumia iphone 13 pro situmie huawei p sema nauza simu ndomaana nazijua kwambali tu ila sio sana jaribu kupiga picha zoom x100 tuone ubora wasimu hapao
 
Back
Top Bottom