Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

Hzo simu naziuza boss , primary situmii cause kila nayoshika naipiga bei , brand zingine ni kujaza megapixel kwenye Camera na Ram nyingi , Ila efficiency still ni changamoto , iPhone simu zao ni quality Sana ,mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni
"Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni".....huwa na waza sasa ukisha mnyonga haki yake unampaje?
 
Hzo simu naziuza boss , primary situmii cause kila nayoshika naipiga bei , brand zingine ni kujaza megapixel kwenye Camera na Ram nyingi , Ila efficiency still ni changamoto , iPhone simu zao ni quality Sana ,mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni
Basi hujui simu google pixel ni hatar sema iphone ni brand kubwa mpaka ije kuwa na mauzo kama iphone ni miaka kadhaa mbele ,kwa performance google pixel ni namba moja kila kona sema hardware ndo wanazingua ila software ni hatari 🔥🔥🔥

Jaribu mzee utakuja kubadili statement yako
 
Nimetumia sana androids ila pixel nimetokea kuipenda. Haina mambo mengi i.e junk apps. Performance nzuri, camera kali, kwa ujumla ni simu nzuri tu japo kwenye upande wa battery ndio kipengele kwa baadhi ya watu ila kwa mtu mwenye matumizi ya kawaida wala haina shida.
 
Hzo simu naziuza boss , primary situmii cause kila nayoshika naipiga bei , brand zingine ni kujaza megapixel kwenye Camera na Ram nyingi , Ila efficiency still ni changamoto , iPhone simu zao ni quality Sana ,mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni

nadhani hapa unazungumzia 64MP za infinix.

mwaka huu iphone wameweka 48mp unadhani zinasogea hata kwenye 108 za samsung.

iphone wana utamaduni wao wa kuwachunga kondoo wake kuwaaminisha kwamba hakuna kitu bora ila kile chao tu,toka lini MP zikakosa maana kwenye camera???una camera ina 12mp just a single pinch picha haieleweki ni kitu gani.
 
iShip wao husifia tu
 
Hiyo pixel 6 pro bei gani?
Hzo simu naziuza boss , primary situmii cause kila nayoshika naipiga bei , brand zingine ni kujaza megapixel kwenye Camera na Ram nyingi , Ila efficiency still ni changamoto , iPhone simu zao ni quality Sana ,mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni
 
Attachments

  • IMG_20221012_141706.jpg
    IMG_20221012_141706.jpg
    474.9 KB · Views: 69
Back
Top Bottom