Google adsense, search engine optimization and seo trick for beginner in Tanzania

Leo nitaendelea nilipoishia
Ila mapendekezo yenu nahisi yatanipa mwanga ni kipi nianze nacho mimi nafanya seo both blogger blog na wordpress blog

Nianze na platform ipi?

Pili nianzie kwenye kuhost au kwenye searching optimization

tatu kuna mtu yupo tayari nitumie domain yake na site yake kama lab then nikimaliza namrudishia (kwa upande wa blogger)
Ila wordpress ninayo domain ya lab
 
Afadhali umerudi mkuu. Me niko interested sana na SEO
 
naweka article ya advanced seo blogger blog

na baada ya hapo nitahamia kwenye seo wordpress blog
Nasubiri sana SEO ya wordpress! Hii kitu muhimu sana hasa tunaotafuta organic search badala ya kutegemea paid ndio upate traffic kwenye website au blog!!!
 
IMG_5254.jpg

Google Adsense wamenikatalia kuweka matangazo sababu ni
IMG_5255.jpg

Msaada wa mawazo ?
 
Mkuu nimechek blog yako iko vizur sana (design wise) , kwenye speed iko safi pia.
Naona kwa adsense utakuwa unaacha hela nyingi sana mezani.. ebu jaribu Ezoic unaweza ukaongeza mapato japo kuwa traffic yako kubwa ni Tz.

Sasa mm ambae cjui kabisa nianzie wapi
 
Back
Top Bottom