Afadhali umerudi mkuu. Me niko interested sana na SEOLeo nitaendelea nilipoishia
Ila mapendekezo yenu nahisi yatanipa mwanga ni kipi nianze nacho mimi nafanya seo both blogger blog na wordpress blog
Nianze na platform ipi?
Pili nianzie kwenye kuhost au kwenye searching optimization
tatu kuna mtu yupo tayari nitumie domain yake na site yake kama lab then nikimaliza namrudishia (kwa upande wa blogger)
Ila wordpress ninayo domain ya lab
Nimechelewa kidogo ila nitaweka article keshoAfadhali umerudi mkuu. Me niko interested sana na SEO
SawaNimechelewa kidogo ila nitaweka article kesho
Okaynaweka article ya advanced seo blogger blog
na baada ya hapo nitahamia kwenye seo wordpress blog
Nasubiri sana SEO ya wordpress! Hii kitu muhimu sana hasa tunaotafuta organic search badala ya kutegemea paid ndio upate traffic kwenye website au blog!!!naweka article ya advanced seo blogger blog
na baada ya hapo nitahamia kwenye seo wordpress blog
Mkuu nimechek blog yako iko vizur sana (design wise) , kwenye speed iko safi pia.
Naona kwa adsense utakuwa unaacha hela nyingi sana mezani.. ebu jaribu Ezoic unaweza ukaongeza mapato japo kuwa traffic yako kubwa ni Tz.
sio bei cheki hii yangu SafariAfricaBlog hapo nimetumia tsh4000 tu mpaka hapo
Nasubiria adsense nikiwa navuna pesa adsterra
Sijalipia chochote zaidi ya domain tena Godady wanakupa mwaka mmoja kwa $1.8 hapo ukikadiria na makato ya malipo ni kama 4000 na chenji inabaki kwenye account
View attachment 2296164
Unge weka URL , tujue tatizo liko wapi
Dola 1.8 ni ofa ya mwaka wa kwanza , mwaka unaokuja atalipia Dola 13mbona mm wananidai nilipe 12$ kwa mwaka
Dola 1.8 ni ofa ya mwaka wa kwanza , mwaka unaokuja atalipia Dola 13
Bonyeza Link >>>>>>umelipa kupitia nn paypal au app gan
mi naambiwa nilipe kupitia paypal na haikubalibhapa
Vpmkuu