Amy nilikumiss...ilikuwa wapi aisee....
pombve ya ninji mkuu si ukanywe maziwa tu uuondoe sumu mwilini?
Watu wengine ndio wanaamka, hujambo mdada weye
Yaani nipo mbali ricky.. Acha tu.. Nimekumiss aje. Wapi leo?
Cantalisia yuko honey moon na mzee wa pua ndefu, Kabakabana katoroka nyumbani sijui kaelekea wapi
![]()
![]()
nani zaidi kati yetu?
mkuu si unasema unataka ndovu baridi? kwani kunywa mwaziwa mpaka unywe sumu kama ya panya? maziwa yanasaidia sana kupunguza kemikali zisizohitajika mwilini.Mimi mbona sijanywa sumu au unaongelea maziwa yapi?
Mzima mie nitty.. Wanaoamka mida hii ina maana usiku wanakesha eh.. We sio mmoja wao kweli?
izoTatizo nini jamani?
Tatizo nini jamani?
mkuu si unasema unataka ndovu baridi? kwani kunywa mwaziwa mpaka unywe sumu kama ya panya? maziwa yanasaidia sana kupunguza kemikali zisizohitajika mwilini.
Yaani nipo mbali ricky.. Acha tu.. Nimekumiss aje. Wapi leo?
Ujue kuna mechi za mchana mara nyingi zikimalizika lazima usingizi uwapitie kidogo kwa hiyo ukiamka unaona kama vile asubuhi
Mmh hawa watoto kweli pasua kichwa, basi kuwa mpole, karibu kontena bar hapa upate japo moja moto moja baridi....
kwa ma HB wa jf we ndio kibokoEti sisi ni mahb kuliko wote humu ndani umeona watu walivyokuwa na wivu
Haswaaa ila moyo ni kiza kinene. Hivi umemuona wapi Sweetylady maana hapa nazunguka kumtafuta simuoni
Aah hujajua maumivu yake aisee...kipenda roho nomaaaHata mie cjamwona,labda umpigie,ila nikimwona nitamwambia unamtafuta!mambo ya moyo ni kiza hayana nafac hapa ni kuenjoy tu mambo mengine badae!
Duh...mi bd naendelea na reseach kujua wewe na Nitonye nani zaidikwa ma HB wa jf we ndio kiboko
Ujue kuna mechi za mchana mara nyingi zikimalizika lazima usingizi uwapitie kidogo kwa hiyo ukiamka unaona kama vile asubuhi