sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Kwangu pia swafi swahiba, karibu wali maharage!Swafiii kabisa swaiba, inakuwaje kwako??
Kwangu pia swafi swahiba, karibu wali maharage!Swafiii kabisa swaiba, inakuwaje kwako??
Mbona mimi huniulizi?halafu wee erick kumbe uko arusha mbona hatuonani?
Chai na mkate wa ngano mixer maharagwe
mangararimu.......lol!!!
Hahahahaaa wewe si ulienda Mwanza then ukazamia Dar? Mi niko zangu huku tu nakula kuku choma kwa raha zangu....halafu wee erick kumbe uko arusha mbona hatuonani?
duh asante! Nisha shiba!
Mbona mimi huniulizi?
Hahahahaaa wewe si ulienda Mwanza then ukazamia Dar? Mi niko zangu huku tu nakula kuku choma kwa raha zangu....
halafu wee erick kumbe uko arusha mbona hatuonani?
Hahahaaa haya sema uko wapi SweetLady......Mbona mimi huniulizi?
Sawa madame usijali....utakuta nimekuandalia nyama choma ya ukweli...we sema tu unataka ya porini au ipi???nakuja jumanne unitafute,unanisikia?
Niko hapa mianzini, kwa Mollel jengo jipya!
Hahahaaa haya sema uko wapi SweetLady......
Mimi pia ntakutafuta!nakuja jumanne unitafute,unanisikia?
Hahahahaaaa chunga hao watoto wavuta gundi watakufana kitu hamna halafu ushangae ooooh utashangaa hako ka blackberry kako unakotumia kwa JF kamepotea ghafla...hahahaaaaNiko hapa mianzini, kwa Mollel jengo jipya!
Sawa SweetLady tena wewe tukutane pale night park ndo karibu na kwako...hahahahaaaa dah halafu mtakuta kweli mko arMimi pia ntakutafuta!
Mimi pia ntakutafuta!
Sawa madame usijali....utakuta nimekuandalia nyama choma ya ukweli...we sema tu unataka ya porini au ipi???
Aah hujajua maumivu yake aisee...kipenda roho nomaaa
Hawawezi manake mie sio wa kuja, nimezaliwa na kukulia huku huku Erickb52.Hahahahaaaa chunga hao watoto wavuta gundi watakufana kitu hamna halafu ushangae ooooh utashangaa hako ka blackberry kako unakotumia kwa JF kamepotea ghafla...hahahaaaa
Kumbe huamini?..Sawa SweetLady tena wewe tukutane pale night park ndo karibu na kwako...hahahahaaaa dah halafu mtakuta kweli mko ar