sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Sio wivu my wii, ni upendo wangu wa dhati kwako!una wivu my wii, nitonye kazi anayo
Sio wivu my wii, ni upendo wangu wa dhati kwako!una wivu my wii, nitonye kazi anayo
Ok poa tutamkaribisha na SweetLady maana naona mimate ishamjaaaaaa hadi aibu....hahahahaaaa Nitonye ana kaziya pori ndo mpango mzima
Hahahahaaaaa aisee unawajua eti hahahahaaaa yupo na mwingine ye anakuomba hela ukimpa mia anakataa anataka hamsini tu..eti mia kubwa teh tehHawawezi manake mie sio wa kuja, nimezaliwa na kukulia huku huku Erickb52.
Kuna yule chokoraa anapenda kukaa mitaa ya soko kuu akiona mdada uko peke yako anakufuata kuomba hela ukimwambia sina anatishia kukutemea mate lol,
Teh sawa...muda wa kuendelea na Fungate ndo huu ila Rejao nimempita mahali na kadent....una taarifa hizi????Najua sn ndio maana nimeimarisha ulinzi na kumiliki password za kila mahali za mme wangu wezi wengi sn!
Hahahaha! Huyo sijawahi kukutana nae lol, anafanya usanii au? Eti mia kubwa....nimecheka sana!Hahahahaaaaa aisee unawajua eti hahahahaaaa yupo na mwingine ye anakuomba hela ukimpa mia anakataa anataka hamsini tu..eti mia kubwa teh teh
Wewe enjoy na sharobaro wako halafu hiyo ndoa ilifungwa saa ngapi wakati mzee Mtambuzi aliikataa au ulitoroshwa
Sasa ndio nini mwanikaribisha huku mwanisimanga? Nitonye pia ntakuja nae lol.Ok poa tutamkaribisha na SweetLady maana naona mimate ishamjaaaaaa hadi aibu....hahahahaaaa Nitonye ana kazi
Teh hivi unajua yuko wapi sasa????Nashangaa hujui sweetie wako yuko wapi mida hii??Sasa ndio nini mwanikaribisha huku mwanisimanga? Nitonye pia ntakuja nae lol.
We can't sail together in this boat, let me end up here guys, you just enjoy the conversation., Good Nighte all of you.....
Sio wivu my wii, ni upendo wangu wa dhati kwako!
Hahahaaaa ni kituko lakini kweli.....Hahahaha! Huyo sijawahi kukutana nae lol, anafanya usanii au? Eti mia kubwa....nimecheka sana!
Mbona niko nae hapa?... Anakusalimia.Teh hivi unajua yuko wapi sasa????Nashangaa hujui sweetie wako yuko wapi mida hii??
Utaibiwa aiseee oooh
Lol, huyo ikitokea mtu kampa buku atakimbia avunje miguu...Hahahaaaa ni kituko lakini kweli.....
Amyner ushashiba mapema hivo? Umepakua mwenyewe au umepakuliwa???...
Teh sawa...muda wa kuendelea na Fungate ndo huu ila Rejao nimempita mahali na kadent....una taarifa hizi????
Ugonjwa gani tena wifi?unajua huwa na ule ugonjwa? Usintaniee
aaah wapi..Nitonye?..nilimuacha anakunywa banana kule kwa Moromboo atakuwa kashindwa kuona njia ya kurudia.......hahahahaaaaaa banana nomaaaMbona niko nae hapa?... Anakusalimia.
Rejao mbishi sana,nasikia anaomboleza maumivu ya 'YANGA' kufungwa na Waarabu hahahaaaaa nilimwambia ahamie Msimbazi akabisha....sasa ona kapoteza hadi mood ya Fungate teh teh mpe poleUmemfananisha,rejao wangu niko nae hapa tunanyweshana juice kwa tunashea mrija kwa raha zetu,huyo fotokopi wangu nae hapa hahahaha!
Ugonjwa gani tena wifi?
Na haipokei ng'ooooo hata umfanyejeLol, huyo ikitokea mtu kampa buku atakimbia avunje miguu...