Goodbye JF!!

Goodbye JF!!

Nimekosa sana sistahili tena kuishi, mimi ni mwenye dhambi ila kabla sijakata roho naungama dhambi zangu zote nisamehewe
Unapoungama dhambi ni lazima uzitaje. Bila kutaja dhambi zako huwezi kusamehewa.
 
Sometimes kutype ni njia ya kutapa tapa
Ni moja ya namna mtu anatumia kuomba msaada

Japo kwa case ya mleta mada na nyuzi zake, bila shaka hii ni moja ya changamsha jukwaaa

Kesho atakuja na uzi akisema amerudisha jinsia yake ya kiume
Samahani dada ANGU sina nia mbaya.

Ulisema unakufa na wewe bado tu mkuu?
 
Usife kwanza, tupe mbususu tuichoronge, kabla hujawapelekea siafu Mkuu.
 
Ni siku yangu ya mwisho hapa asanten kwa mda tuliokuwa nao. Mmenifunza mengi mumekuwa na mchango mkubwa katika maisha yangu asanteni. Kwaherini twonane milele. THE END
Yaani miezi miwili tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom