Goodbye JF!!

Goodbye JF!!

JF Members....Huwa mnaanza hivi hivi kama mzaha ....Mwisho mnaondoka kweli..Rekodi zimo humu..

Basi sawa:Kwaheri ya kutoonana Mkuu..Japo ni Ubinafsi uliopitiliza ..wa kujijali wewe tu na kutuona wengine tunaokuzunguka si chochote kwako na hatuna maana kabisa..!!!?
Maisha yako ni ya Muhimu kwa Wengine na Wao ni Wa Muhimu kwako....tambua hilo.
 
Ila kweli Jf siku hizi hata mi naingiza kwa vile nomezoea.
Yani inaboo sana tofauti na zamani.
 
ni siku yangu ya mwisho hapa asanten kwa mda tuliokuwa nao.mumenifunza mengi mumekuwa na mchango mkubwa katika maisha yangu asanteni.kwaherini twonane milele. THE END
I'd yako mpya ni ipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom