Goodbye JF!!

Goodbye JF!!

SAFARI NJEMA....
HObnnecWkAA4epA.jpg
 
Chukulia mfano wa hii story Mfalme Daudi na mke wa Uria, Bathsheba), Daudi alitubu kwa dhati kabisa baada ya kuonywa na Nabii Natani.
Kufuatia toba yake kuu, Mungu alimsamehe dhambi zake, ingawa bado alipitia madhara au matokeo ya makosa yake katika familia na ufalme wake.

Sasa tumia Zaburi ya 51 ni mfano mzuri wa sala ya toba ambayo Daudi aliiandika kuomba msamaha huo.
 
Nimekosa sana sitahili tena kuishi mimi ni mwenye dhambi.ila kabla sijakata roho naungama dhambi zangu zote nisamehewe
Isaya 1:18

"Haya, njoni, tusemezane, asema Bwana; dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu." acha mawazo ya hasi mtafakari Mungu kivingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom