Goodbye JF!!

Goodbye JF!!

Nikupe namba ya muuza Majeneza ili ulipie kabisa ili usije kusumbua watu?
 
Kuna wakati mkuu Maxence Melo aweke na kipimo cha kuwapima afya ya akili Hawa watu wapya wanaojiunga, sio tu jitu limechoka kupost vitu huko Facebook linakuja na huku tena.....ona sasa kama hii mbuzi imeleta nyuzi gani hii?
 
Mtu unaekata roho mikono Inatoa wapi nguvu ya kutype kila sekunde

Sometimes kutype ni njia ya kutapa tapa
Ni moja ya namna mtu anatumia kuomba msaada

Japo kwa case ya mleta mada na nyuzi zake, bila shaka hii ni moja ya changamsha jukwaaa

Kesho atakuja na uzi akisema amerudisha jinsia yake ya kiume
 
Mnakandiana sasa.

Wakati hata wewe ulikuja na uzi kama huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom