Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,914
- 14,775
Mbona ghafla tena Binti wa Singidani
😹😹😹 Anayeondoka haagi..!!
Hapo unaenda ku switch id yako nyingine..!!
kwa mganga hawaagi!!Ni siku yangu ya mwisho hapa asanten kwa mda tuliokuwa nao. Mmenifunza mengi mumekuwa na mchango mkubwa katika maisha yangu asanteni. Kwaherini twonane milele. THE END
Au labda katembea na baba mkwe wakeDhambi gani umetenda mpaka unaona hustahili kuishi?
Jana alipost huu uzi
Something fish my 😄View attachment 3655868
Wanadai ni weweBinti tz Tu DM Tafadhali
Bado haimfanyi asistahili kuishi.Au labda katembea na baba mkwe wake
Nilipita mbona anaaga sjui nn mapupu tuu 😂
Na wana hawajamtafuna vzr anaaga mashindano!Nilipita mbona anaaga sjui nn mapupu tuu 😂