Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Dude you are lost.Marriage? think something else.Katika siku zijazo ..na na uwepo wa JF hapa duniani ..itafungwa ndoa ya kwanza ya wana JF kati ya SI na ...........(anajijua) hio ndoa/arusi /sherehe) haitawaweka wana JF pembeni kwani ni zao la JF .
.viva JF
[h=2]Maisha Yangu Si maisha Yako[/h] Kila mtu ana mtazamo wake Kwaninini Mtazamo wako unataka uwe wanguDude you are lost.Marriage? think something else.
Maisha Yangu Si maisha Yako
Kila mtu ana mtazamo wake Kwaninini Mtazamo wako unataka uwe wangu
Hongera sana mkuu na tunawatakia maandalizi mema hao wahusika
Kweli usitutupe pembeni kaktika hilo
Ndo manake mkuu lazima akaribieLawyer nakuona unamkaribisha kwenye chama!
Join Date : 10th October 2011Mkuu hebu angalia muda aliojiunga na kukuambia kuwa umepotea kwenye kufikia malengo yako
mkuu time will tell..kwani sio vizuri kushangilia mimba changa ..anything can happen within those 9 monthsNani huyo? Kimey na yule lady nani sijui?
Join Date : 10th October 2011
Posts : 8
Rep Power : 0
hahahh ..nilikuwa sijaangalia ..kwani nimekosea hata kumjibu ..ningemkaushia tu ...kumbe hata ukimuuliza kuwa miafrika ndio tulivyo ni ignature ya nani hawezi kunijibu
Join Date : 10th October 2011
Posts : 8
Rep Power : 0
hahahh ..nilikuwa sijaangalia ..kwani nimekosea hata kumjibu ..ningemkaushia tu ...kumbe hata ukimuuliza kuwa miafrika ndio tulivyo ni ignature ya nani hawezi kunijibu
hii itakuwa ya wana JF amboa wapo willing bila kuangalia mitizamo yao ya kisiasanaona umeamua mtakatifu ivuga..baada ya memba wengine kutangulia basi na wewe wafuata..
ndo nyingi kivipi? mbona hatukualikana mkuu...?au kimya kimyaHongera sana SI
But mbona wengine tayari tunazo ndoa nyingi hapa??
Yako itakuwa ya 100+
Mshikaji na wewe mdaku, nipe mji nikutajie basi kama hujui au umesahau tehe tehe tehe.Nani huyo? Kimey na yule lady nani sijui?