Good news for JF members especially MMU

Katika siku zijazo ..na na uwepo wa JF hapa duniani ..itafungwa ndoa ya kwanza ya wana JF kati ya SI na ...........(anajijua) hio ndoa/arusi /sherehe) haitawaweka wana JF pembeni kwani ni zao la JF .
.viva JF
Dude you are lost.Marriage? think something else.
 
Tunawaombea kwa mungu, awawezeshe kukamilisha mipango yenu pia msisahau kuwaarika wana jf.
 
Mkuu hebu angalia muda aliojiunga na kukuambia kuwa umepotea kwenye kufikia malengo yako
Join Date : 10th October 2011

Posts : 8

Rep Power : 0
hahahh ..nilikuwa sijaangalia ..kwani nimekosea hata kumjibu ..ningemkaushia tu ...kumbe hata ukimuuliza kuwa miafrika ndio tulivyo ni ignature ya nani hawezi kunijibu
 
kabisa mkuu hakukuwa na haja ya kutumia nguvu nyingi kumjibu
 
Join Date : 10th October 2011

Posts : 8

Rep Power : 0
hahahh ..nilikuwa sijaangalia ..kwani nimekosea hata kumjibu ..ningemkaushia tu ...kumbe hata ukimuuliza kuwa miafrika ndio tulivyo ni ignature ya nani hawezi kunijibu

mbona ana jina kama spyware..
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom