JF members and their respective Copyrights

Raymanu KE

JF-Expert Member
Jan 20, 2022
6,843
12,604
Wafuatao ni baadhi ya JF members na mbinu zao za kuwasilisha hoja zao kwenye nyuzi mbali mbali especially kwenye comment sections.

Yaani unaweza kutambua majina yao bila kurefer kwenye ID zao kwa sababu wamezoa kuwasilisha hoja zao katika mbinu maalum ambazo Ni exceptional.

Smart911
Huyu bingwa kwenye nyuzi nyingi huwa anacomment Kama ifuatavyo

" Ngoja waje"
"Mambo yao waachie wenyewe"
"Tatizo binadamu wa ckuiz Ni wabishi Sana"

Liverpool VPN
Huyu na mwenzake dronedrake Wana kauli yao mbiu inayoitwa "KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI"
Hakuna siku utakutana na Uzi wa usaliti wa kimapenzi afu ukose kukutana na hiyo comment ya hao majamaa

Carasco
Huyu member Mara nyingi huwa anawasilisha hoja zake kwa njia ya picha.Yaani yeye atacomment tu picha inayobeba ujumbe mzito unaoenda sambamba na mada husika.

Mshana Jr
Huyu bingwa ckuiz amekuja na mbinu ya ku- quote kipande fulani chenye ujumbe mzito kwenye mada husika na kukiweka Kama comment bila kuongeza Wala kuondoa neno lolote.

Hii mbinu kwa kiingereza inaitwa " verbertim"

UMUGHAKA
Huyu nguli wa story siku zote huanza nyuzi zake kwa maneno yafuatayo;
."Nisikuchoshe, usinichoshe tusichoshane"
Hakuna siku UMUGHAKA ataanzisha Uzi bila kuanza na hayo maneno.

Yeyote atakayeanzisha Uzi kwa kutumia hayo maneno ya UMUGHAKA anatakiwa achukuliwe Sheria na uongozi wa JamiiForums kwa sababu hayo Maneno yanamilikiwa na UMUGHAKA.

Kama Kuna member anayetakiwa kuwepo kwenye hii list tafadhali muwekenu hapa.
 
ana wake wawili
sahihi kabisa, mmoja ni BabyCare, mwengine ni Vaseline

mmoja huyu hapa

zzz.jpg
 
Ongeza na Deaogratius Nalimi Kisabdu

Similar Discussions

Back
Top Bottom