Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT

Wanamgombania kabisa yani

Ukicomment kumdis mama Samia Chadema watakuparamia mpaka utajuta kuzaliwa.wafuasi wa CCM wenye Samia wao wakija wanakuta Chedema washamaliza kazi

hiii maweeee
Hahahaaaa

Kweli kabisa aisee!

Hahahahahaaa.

Aliyewaita nyumbu hakukosea.
 
Naona umefufuka aise. Ulikuwa unatengeneza genge la wahuni. Umechakachua uchaguzi mpaka umeonekana hauna maana.
Bora umekata kamba, nafsi yangu imekuwa na amani sasa. Ilifika kipindi unaishi kwa hofu ya kuvamiwa na watu wasiojulikana.
Unaota mkuu! Sisi ndiyo wenye nchi tunamweka tunayemtaka lakini siyo wanasaccos. Itachukua muda mrefu sana wanasaccos kuendesha nchi ya TZ wenyewe watakuwa wasindikizaji tu labda baada ya miaka 100 tena wakiwa serious na saccos yao.
 
Huyo jamaa yenu alikuwa anatengeneza genge la wahuni na vilaza ambao wakiambiwa hiyo ni nyeusi wanasema ndiyo hata kuuliza hakuna.
Zile teuzi za kusifia sifia huenda zikatoweka. Bila kusifia buku 7 utaitoa wapi?
Unaona sasa? Madawa ya kulevya ndiyo mekalilishwa.
CCM mlikuwa mnakula bata sana. Mtu anachukua fomu, anaenda kujifungia ndani, kura zikipigwa ameshinda 100%. Ilifika kipindi wabunge, madiwani na wenyekiti wanajitapa hadharani kuwa 'unipigie kura usipige, nashinda' hatari sana
Hayati Magufuli utaendelea kumwota mpaka ufe alivyokufanya hutasahau. Biashara yako ya madawa ya kulevya alifutia mbali na usitegemee kurudi tena huko bado Mama Samia ataendeleza pini hiyo hiyo.
 
Ebu niambie basi unafanyanini hapa mjini wewe dada na mipasho yako?
 
Ndiyo maana nikasema CCM ni genge la wahuni la wachumia tumbo. CCM ikitoka madarakani kuna viongozi watakufa kwa njaa na wengine watapata kichaa sbb hawana pakula zaidi ya CCM.
Hamuwezi kutoka madarakani maana mkitoka watu watakula wapi? Huko kote meweka watu wenu wenye njaa na wapo radhi waue mtu kwa yoyote anayetaka kuitoa CCM madarakani
Unaota mkuu! Sisi ndiyo wenye nchi tunamweka tunayemtaka lakini siyo wanasaccos. Itachukua muda mrefu sana wanasaccos kuendesha nchi ya TZ wenyewe watakuwa wasindikizaji tu labda baada ya miaka 100 tena wakiwa serious na saccos yao.
 
Huko BOT Na kwa DPP kote Lema kuna madudu yake ayamalize asimuhangaishe Raising wetu
 
CCM siyo ya kutoka leo wewe dada!! CCM ni Chama Dola ndiyo maana ina mfumo unaoelewa wa Kidola. Be informed you ass!!
 
Naona una hasira sana na mm mpaka unaniita dada?
Unawaza yule jamaa wa michongo ameenda sasa kwenye kampeni huenda mkaingia kwenye majukwaa kumwaga sera maana mlikuwa mnachukua fomu ya ubunge. Unaenda kujifungia ndani.
Kura zikipigwa umeshinda 100%. Mtu anakuambia unipigie kura usipige mm nashinda. Ogopa sana
Ebu niambie basi unafanyanini hapa mjini wewe dada na mipasho yako?
 
Mimi ni mjasiriamali wala si mwanachama wa CCM lakini naona CCM ndiyo chama kilicho serious na kina mfumo unaoeleweka siyo hizo Saccos zenu.
 
Leo marehemu utaniita majina yote.
Mtoke mkale wapi? Sekta nyeti zote meweka watu wenu ili mlinde ugali.
Mnaanzaje kutoka wakati pale ndiyo kuna ugali? Wala hamueleweki ila mnalinda ugali.
Nape, ndugai na wengine wakale wapi? Unacheza na watu wenye njaa ww?
CCM siyo ya kutoka leo wewe dada!! CCM ni Chama Dola ndiyo maana ina mfumo unaoelewa wa Kidola. Be informed you ass!!
 
Hayati magufuli aliua upinzani, rais Samia anauzika rasmi upinzani....
hutaki acha, ila ukweli ndio huo, kila mtu kawa mfuasi wa sisiemu hata lissu na lema...
Kama hilo likitokea, halina Tija yoyote if and only if you have an IQ and vast brain. But if you are zombie, unahisi ni sifa na fahari.
Check n balance ni lazima. Na ndiyo maana kuna mvua na jua, giza na mwanga, maji na moto, mwanamke na mwanaume, jua na mvua, mchana na usiku, kila kitu lazima kiwe na ukinzani wake ili kubalance!
 
Hatuwezi kuachia nchi wanasaccos mkuu! Labda muende poeini lakini muangalie msije mkaliwa na simba huko kuna simba wengi sana.
 
Ndiyo maana nikasema nyie ni genge la wahuni la wachumia tumbo.
Unasema huwezi achia nchi wakati kura ndizo zina amua mshindi ni nani.
Mpo radhi mchakachue kura mshinde. Ona sasa unavyojichanga mnyonge
Ndiyo maana Jecha aliamua kurudia uchaguzi kuhofia ugali wake.
Hatuwezi kuachia nchi wanasaccos mkuu! Labda muende poeini lakini muangalie msije mkaliwa na simba huko kuna simba wengi sana.
 
Ubarikiwe saana na rais wetu ameshapata cheo alichoomba akiwa hai.
 
Kumbe Rais ndio hutoa ruhusa kwa mahabusu kuzika wapendwa wao? Hebu tukumbushe sheria ziinasemaje kuhusu mahabusu kuzika wapendwa wao?
Jibu kaondoka nalo aliyemuweka lupango. Mbona alisamehe wafungwa mpaka wakunyongwa? Mpigie simu maana nasikia mna mawasiliano naye bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…