yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,226
- 4,894
Mama yako pekee ndio anaweza kuelewa andiko lako maana anajua alizaa taahiraKiongozi au Mwanachama yeyote aliye makini atahama kutoka Chadema kwenda CCM.
Mama yako pekee ndio anaweza kuelewa andiko lako maana anajua alizaa taahiraKiongozi au Mwanachama yeyote aliye makini atahama kutoka Chadema kwenda CCM.
Hata mimi nafikiri ni yeye ila nasikia Ofisi Ndogo Lumumba ndio haimtaki ingawa kaishabembeleza sana!
Tena wanaiogopa haswaaa!Nyinyi wote ni watoto.. Historia ni mwalimu mzuri sana! KANU ya Kenya ilipokuwa madarakani, ilikuwa kama CCM inavyofanya sasa. KANU iko wapi leo! nani alidhani KANU ingelikufa? Hivyo hivyo chama cha Kaunda Zambia? UPC ya Obote iko wapi?etc, etc, etc. Unadhani leo CCM ikitoka madarakani kitatokea nini kwa "uthabiti" wa CCM, ! Nyinyi ni watoto hamsomi historia ya haya mambo!
CDM haina fedha, haina dola, haina polisi, haina jeshi, haifanyi mikutano, walafi wanahama , lakini bado inaogopwa. Unalisemaje hilo?
Binamu banangaRafiki yake ni nani kama sio yeye, kwa wanasiasa hakuna linaloshindikana.
Bonge la tafakuri!Nyinyi wote ni watoto.. Historia ni mwalimu mzuri sana! KANU ya Kenya ilipokuwa madarakani, ilikuwa kama CCM inavyofanya sasa. KANU iko wapi leo! nani alidhani KANU ingelikufa? Hivyo hivyo chama cha Kaunda Zambia? UPC ya Obote iko wapi?etc, etc, etc. Unadhani leo CCM ikitoka madarakani kitatokea nini kwa "uthabiti" wa CCM, ! Nyinyi ni watoto hamsomi historia ya haya mambo!
CDM haina fedha, haina dola, haina polisi, haina jeshi, haifanyi mikutano, walafi wanahama , lakini bado inaogopwa. Unalisemaje hilo?
Nyinyi wote ni watoto.. Historia ni mwalimu mzuri sana! KANU ya Kenya ilipokuwa madarakani, ilikuwa kama CCM inavyofanya sasa. KANU iko wapi leo! nani alidhani KANU ingelikufa? Hivyo hivyo chama cha Kaunda Zambia? UPC ya Obote iko wapi?etc, etc, etc. Unadhani leo CCM ikitoka madarakani kitatokea nini kwa "uthabiti" wa CCM, ! Nyinyi ni watoto hamsomi historia ya haya mambo!
CDM haina fedha, haina dola, haina polisi, haina jeshi, haifanyi mikutano, walafi wanahama , lakini bado inaogopwa. Unalisemaje hilo?
Uswahili huo it is not my "fani"Dula la kuku, mwewe yeye anapepea angani na kifaranga. Alie juu mfate juu, usimsubili chini.
Hahahaha, tusubiriUmenifumbua macho.
Nami nadhani ni huyu BanangaBinamu bananga
Kiongozi au Mwanachama yeyote aliye makini atahama kutoka Chadema kwenda CCM.
Pia usisahau fisiemu ni chama cha matabaka sisi na sio wenzetu pasi kusahau "mafisadi na waliodumaza nchi" siku "malofa" wakijitambua na kumjua adui yao kitakwenda kuzimu pasi simile.Wasilinganishe KANU na CCM .KANU ilikuwa Chama Cha makabila makuu mwawili jamii za kijaluo na jamii za kikikuyu .walipogombana kila kabila likaamua kuanzisha chake.Wajaluo akina Raila odinga kwao na wakikuyu kwao.Kanu ikabakia na vikabila vidogo vya Kenya.
CCM sio Chama Cha Cha kikabila wasilinganishe na KANU
Chadema na KANU Haina tofauti wachaga wakijiondoa chadema inakufa
Hili siwezi kupinga maana siasa za kenya ni ukabila kuliko vyama. Kama Odinga atakuwa mgombea mwenza wa Moi au viceversa basi Ruto asahau urais. Maana Luo/Luhya + Kalenjin kura sio chini ya Million 4.zitto junior,
Rais ajae anatoka KANU anaitwa Gideon Moi
Wasilinganishe KANU na CCM .KANU ilikuwa Chama Cha makabila makuu mwawili jamii za kijaluo na jamii za kikikuyu .walipogombana kila kabila likaamua kuanzisha chake.Wajaluo akina Raila odinga kwao na wakikuyu kwao.Kanu ikabakia na vikabila vidogo vya Kenya.
CCM sio Chama Cha Cha kikabila wasilinganishe na KANU
Chadema na KANU Haina tofauti wachaga wakijiondoa chadema inakufa
Kalenjini na wakikuyu Ni jamii iliyokuwa imekamatana na wakikuyu .Kumbuka Wakikuyu walipogombana na wajaluo Kenyata mkikuyu alimteua Moi mkalenjini kuwa makamu wake wa Raisi wajaluo wakawatupa huko. wakikuyu waliondoka na wakalenjin wakati wa moi.Hadi Sasa Kenya Raisi Ni mkikuyu na makamu wa Raisi William Rutto Ni mkalenjini.Kabila la wajaluo wako na akina Odinga Hadi Leo.Yehodaya!
Inaonekana kabisa huna focus unaongea kishabiki na ulevi tu wa madaraka! Wote tunaijua Kenya na KANU kama tunavoijua TANU(CCM) na Tanzania! KANU ilifia mikononi mwa Daniel Arap Moi a.k.a Nyayo Rais awamu ya 2 baada ya Mzee Kenyatta! Moi alkuwa Kalenjin na hakuwa Jaluo au Kikuyu kama unavopotosha hapa!
Kwamba tunarudi kwenye mfumo wa chama kimoja? Naona unaangalia sana 2020 je umejaribu kufikiri 2025Maadam wanaohama Chadema kuhamia CCM, wanakuwa wamejitambua na kuona mbali, naendelea na ushauri wangu huu, wasibezwe.
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
P