Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

Hatuwezi kujificha kwenye kivuli cha umaarufu wa LEMA kukwepa kujibu tuhuma hizi ni sawa na kuingusha chadema
 
Naomba viongozi wa CHADEMA watoe tamko juu ya hili la sivyo. vitu hivi haviniingii akilini.

Nitawashangaa viongozi wa chadema kama wataacha shughuli zao na kuja kutoa tamko kwa kujibu hoja za uwongo zilizotengenezwa na wapumbavu.
kwanza hao watu hawajulikani wanatokea wapi.
 
Kweli halafu tabia ya kujiita majina ya kike wakati dume tena bingwa wa kutembea na wake za makada wenzako uache au una hemewa maana haiingii akilini dume ujiite mama...

Mkuu unamaanisha MAMA POROJO ni dumejike?
 
Last edited by a moderator:
Nitawashangaa viongozi wa chadema kama wataacha shughuli zao na kuja kutoa tamko kwa kujibu hoja za uwongo zilizotengenezwa na wapumbavu.
kwanza hao watu hawajulikani wanatokea wapi.

Hauitakii mema chadema. Dawa ya tuhuma ni kujibu si kukaa kimya.

Uongo usipokanushwa hugeuka kuwa ukweli
 
Hauitakii mema chadema. Dawa ya tuhuma ni kujibu si kukaa kimya.

Uongo usipokanushwa hugeuka kuwa ukweli

Hizi siyo tuhuma ni uwongo, viongozi wa chadema wana shughuli nyingi za kuwatumikia wananchi. huu ni idaku wa kishoga, tunatosha kuwajibia humu.
Lema atalitolea ufafanuzi kwenye mikutano yake ya M4C karibu.
cha kujiuliza ni hao walioandaa huo uwongo ni akina nani
 
Madai haya mbona yanajibika, kama mtoa taarifa ni kiongozi kwanini hakutumia vikao kutoa malalamiko haya. nakama kwenye vikao hayakupita basi hii naiita ni chuki binafsi kwa Kamanda Lema. lkn pia Kamanda Lema Humu yumo mi naamini atajibu hizi tuhuma. kukaa kimya maana yake ni tuhuma za kweli
 
Hahaha ....watu wakishindwa bwana .....Ni lazima magamba mkubali kuwa CDM wako juu. Hapa Arusha hamkubaliki kabisa. CHEZEA LEMA wewe. Ni lazima muweweseke sana ....Nguvu na hila zote mlizokuwa mmepanga na kutekeleza ziligonga mwamba .... sasa mmeamua kujitengenezea documents mlizofoji signature na kutuletea hapa? Ama kweli ninyi ni mafundi. Kwani ni nani hawafahamu CCM? Kama mliweza kufoji RICHMOND, DOWANS na vinginevyo, hili la kutengeneza barua inayomshambulia LEMA mtashindwa? UJUMBE TUNAOWAPA NI KWAMBA MMESHAFULIA ...TUMEWACHOKA, KAENI PEMBENI MUACHIE CHAMA MAKINI KIIPATIE NCHI YETU NZURI YENYE KILA KITU MAENDELEO.

TO HELL WITH YOUR DIRTY PROPAGANDA.
 
Hizi siyo tuhuma ni uwongo, viongozi wa chadema wana shughuli nyingi za kuwatumikia wananchi. huu ni idaku wa kishoga, tunatosha kuwajibia humu.
Lema atalitolea ufafanuzi kwenye mikutano yake ya M4C karibu.
cha kujiuliza ni hao walioandaa huo uwongo ni akina nani
Labda nikukumbsuhe kuwa kukanusha au kuthibitisha tuhuma ni sehemu ya majukumu ya kiongozi makini.Kama hakutokea hapa bila kupepesa macho nitaamini haya yote tena kwa ushahidi wa barua kuwa ndg Lema ameyatenda.
 
raha ya hii document ingekuwa wazi nimeshindwa kuiweka wazi ili isomeke kwa urahisi.
Kwasababu ni feki ndo maana umeshindwa kuiweka wazi. Tafuta uongo mwingine huu umefeli. Mapokezi yake kutoka KIA yanathibitisha uongo wa hii doc feki. Mmeanza kuchanganyikiwa sasa. Mwacheni Mbunge wetu afanye kazi sasa masalia nyie
 
CCM ikishikwa pabaya ni halali

CHADEMA ikishikwa pabaya ni haramu

Kwa mwendo huu tutafika salama????????
Tatizo zio kushikwa pabaya au pazuri, tatizo ni uzushi, hata hao unaowaita wajumbe hakuna hata mmoja aliyesaini hiyo document. Halafu pia hiyo doc haina nembo ya chama kama kweli imetokea kwenye moja ya matawi lazima ingekuwa na nembo ili iwe official, lakini kwa uzuzu wenu mnafikiri kila mtu ni zuzu kama nyie. Jaribuni hengine hapa mmenoa, na akirudi bungeni tunataka majibu ya waziri mkuu kulidanganya bunge. MNAMUOGOPA E.
 
Ukweli uko wazi chadema ni wachumia tumbo tu ..hakuna mwenye nia ya zati kuokomboa nchi hii... Ni kama saccos tu ya wahuni wachache...... Lema si yupo humu aje ajibu hoja na sio kutoa matusi... Ukweli kiwanja kachukua na kaandika kwa jina lake...
Chadema saccooooooooooooooss poplzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Nimezisoma hizo nyarakafeki, sijaona ukashfa wala chembe ya kuiua chadema!

Mods: kumekuwa na taswira flani ya uachaji wa mijadala ya kizushi inayotupotezea mda na kushusha hadhi ya jukwaa hili!

Uzushi kama huu haina haja ya kuuacha watu waendelee kuangalia!

we lema acha aje mwenyewe acha ushabki jibu hayo maswali sasa
 
Siasa ni mchezo wa mahesabu. Adui yako anachozingatia kuharibu ni image yako. Akishaiua anakuwa amimaliza trust ya watu kwako. Yaani ukiweza kumfanya mtu atiliwe mashaka, unakuwa umemmaliza kwa kiasi kikubwa. Unamfanya ajiteteee sana na unakuwa umempunguza kasi au nguvu. CDM muwe makini. Wanajua ukiwapiga wachungaji kondoo watapoteaa!
 
ndg yangu maporogo hyo document iliandikwa muda mrefu baada ya mgogoro ule wa madiwani Arusha. Na ulikuwa na lengo la kudhoofisha chama kutoka kwa madiwani waliofukuzwa na kukimbilia mahakamani. Hvy lengo lao lilikuwa kumshutumu lema kwa kile walichoamini kuwa ni yeye ndiye aliyesababisha kumbe riyo. Bt asante kwa docment yako kwa kuwa haukujua ilivokuwa.
Hivi mbona mnapenda kubisha vitu ambavyo vipo wazi ndugu zangu? Mgogoro wa madiwani ulikuwa lini na hii barua imeandikwa lini? Msione watu wote wanaweza kukubaliana na ujinga huu kamwe. Lema yupo hapa jf aje atolee ufafanizi hizo hoja au hata viongozi wa Chama kuanzia ngazi ya shina mpaka Taifa wapo hapa waje watoe ufafanuzi. Mbona wamekuwa wepesi wa kutoa taarifa na fafanuzi nyingi hata susizo na maana hapa lakini kwenye tuhuma nzito kama hizi wapo kimya kwa nini? Hizi tuhuma zipo uongozi ngazi zote wilaya, mkoa na hata taifa wanazo ni kiasi cha wao kuja na kusema ni tuhuma za kizushi au vipi watu waelewe au wahoji zaidi, I think this is what CDM should do simple as that
 
kwan kuandika majina na kusaini bila sabb inashindikana? Kumbuka wakati wa kampeni 2010 walitengeneza picha dhidi ya Dr. Slaa na mchumba wake na kuzitoa kwy vyombo vya habari, hadi leo hawaonekani tena wale na picha zao. Kwa maoni yangu CCM mgejitahidi kutekeleza ilani yenu na kurudisha imani kwa watanzania ili kujinusuru chama chenu kuliko kuwa hangaikia CDM wanaopanga mambo yao.

Ndugu yangu kama umeambiwa hii document ipo makao makuu na wewe unataka kuamini kuwa ipo na ikizingatiwa CDM ni transparent si uwaulize kama kweli ipo makao makuu? Na kama ipo basi Mnyika aje hapa aseme wanayo na wanaifanyia kazi ili tufunfe huu mjadala mpaka watakapotoka na majibu ya tuhuma hizi, wewe povu linakutoka kwanini?
 
chadema inavurugika ccm inawauma, chadema inatimua wanachama wake mahili ccm inawauma,. Da kunakitu apa sio bure,. Maccm bwana
Wanaoumia ni wanachama na wapenzi wa CDM walioijenga chama kwa muda wote huo. Kufukuza wanachama siyo afya kwa chama chochote. Wanachotakiwa kufanya ni kuonyana na ifuate katiba ya chama. Siyo kila mwenye wazo tofauti afukuzwe hii kwanza siyo demokrasia lakini pia haitakuwa na maana ya uhuru wa kujieleza lakini uhuru huo usipite mipaka. Kamati za maadili ndiyo kazi yake hiyo kuchuja kauli na mienendo ya viongozi jamani
 
Back
Top Bottom