EMMANUEL NSAMBI
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 402
- 83
Mbona kabla hajarudishiwa ubunge mlikuwa kimya?Cdm ina wafuasi wengi hivyo nyi ambao hamfiki hata 50 msitutishe.
Acha kumsakama huyo jamaa. Tunajadili chama ambacho watanzania wanaambiwa kwamba kikishika madaraka, maisha yatabadilika na utakuwa mwisho wa ufisadi. Katibu dhaifu tungoje atafanya nini. Kama barua hiyo hajaipata, chukueni mumpelekee halafu mlete majibu baada ya kufanya uchunguzi wa kina.
'CDM ina intelligensia kali sana ikiongozwa na bin watch eight!
huu ni upumbavu shirikishi
Mbona kabla hajarudishiwa ubunge mlikuwa kimya?Cdm ina wafuasi wengi hivyo nyi ambao hamfiki hata 50 msitutishe.
Marry chatanda acha ujinga wako,i know you very well.
Kumbe ule ujinga uliokua unanieleza ndo umeamua kuuleta rasmi humu
haya ndio majibu ya malalamiko ya wananchi wa arusha kudai haki, usawa, uwajibikaji na kufuatwa kanuni ndani ya chama na mbunge lema????? kweli chadema tuna nazi sio vichwa.
mi nadhani unamuonea mleta mada bure, yeye ameweka hapa kile alichopata kwa vyanzo vyake ili watu waone na washauri ipasavyo.. nadhani ingekuwa bora sana kama ungeshambulia hoja zilizoelekezwa kwa lema kuliko kumshambulia mleta mada, utakuwa unapoteza mda wako bure coz watanzania wana akili kuliko wewe unavyowaona
Nchi ndiyo inaongozwa na JK mwenye kifuu cha Nazi badala ya kichwa kama wewe
hili tatizo ni kubwa sana hapa jf, yaani watu wanashambulia mleta hoja badala ya kushambulia hoja yenyewe, bado mtu anajiita great thinker, kuna haja ya mods kutoa semina kwa members hasa wageni ili kuweka mambo sawa.

Mkuu, document hiyo imetoka kwenu Arusha na kusainiwa majina hayo umeyaona na imetumwa hadi makao makuu ya chadema. Mimi sijaongeza neno kwa nini unanishambulia mimi binafsi? badala ya kujibu yatokanayo na hiyo Document?
inaonekana una macho lakini hayaoni au yanaona giza giza...barua imeelekezwa kwa kamati kuu ipitie kwa slaa kutoka kwa wananchi wa arusha, tuliza kichwa mapepe ya nini??
haya ndio majibu ya malalamiko ya wananchi wa arusha kudai haki, usawa, uwajibikaji na kufuatwa kanuni ndani ya chama na mbunge lema????? kweli chadema tuna nazi sio vichwa.
upumbavu ni hoja ? ....
stereotype
Mods, ziweke wazi hiyo document naona naandamwa mimi au mwanaJf yeyote aziweke wazi kwani zina ushahidi wa ninachosema dalili hizo ni mbaya kwa chadema Arusha.
mi nadhani unamuonea mleta mada bure, yeye ameweka hapa kile alichopata kwa vyanzo vyake ili watu waone na washauri ipasavyo.. nadhani ingekuwa bora sana kama ungeshambulia hoja zilizoelekezwa kwa lema kuliko kumshambulia mleta mada, utakuwa unapoteza mda wako bure coz watanzania wana akili kuliko wewe unavyowaona
mkuu unazidi kuchanganyikiwa, angalia usije kuwa umelazwa mirembe ukadhani uko salama ukaacha kwenda kupata dawa....
mada hapa inaelezea jinsi lema anavyoharibu chama huko arusha, anafisidi matrekta ya wajane,yatima, ana fukuza wanachama na viongozi hovyo, ana wakataa wasomi kwenye chama. wewe unahangaika na JK, punguza mahaba yasiyo na maana utakufa vibaya.