Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

Mmemuandama dr slaa sana tu atikisiki,Mmeanza kumchimba Lema.NIKIWA KAMA Katibu mwenezi wa chadema ktk mojawapo ya kata hapa arusha Mjini napingana nawe.HALI YA CHADEMA ARUSHA NI SHWARI na hapa tulivyo ni vigumu mno hata kuona bendera ya magamba kwa mabalozi ambao nadhani HAWAPO siku hizi ktk jimbo hili.hizi ni siasa za sewage za mama porojo na akina mama chatanda.

Nyie rukenirukeni tu lakini muda si mwingi jibu litapatikana,mlio na uwelewa finyu mnasema CDM ni chama makini kaeni hivyo hivyo na umbumbu wenu CDM kama ni bomu sasa tunahesabu sekunde!
 
kama chabema haikufai hamia chauma au adc

mkuu,wewe kweli unakipenda chadema au unafuata upepo jinsi unavyovuma mana huna hoja hata kidogo, umetawaliwa na mahaba ambayo hayatakusaidia huko mbele....chama kinastawi kwa kujikosoa sio kukumbatia maovu,au wewe ni gamba nini???
 
Naomba viongozi wa CHADEMA watoe tamko juu ya hili la sivyo. vitu hivi haviniingii akilini.
 
Nilikwisha jua wewe huna kichwa una kifuu cha nazi chenye nywele kama JK anaetembeza bakuli huku anafanya ufisadi (wazi wazi) na kuua watu ili abaki madarakani. Baada ya kuweka rehani kusini kumuokoa mwanae bomba la gesi linamtokea puani. Usisahau Lema unayemzunguzia alimuanika JK wako kuingilia hukumu yake mahakama ya Arusha. Sasa kavamia hukumu ya igunga

Lema hachafuki na kifuu kama wewe na CCM yako dhaifu

kweli wewe unatumia kichwa kufugia nywele peke yake...

1.lema hajapewa kiwanja akajimilikisha????

2.hajapewa trekta kwa ajili ya wajane na yatima akaamua kulitumia kwa manufaa yake??

3. hawapingi makamanda wasomi kujiunga na kukijenga chama????

hajashawishi kuwafukuza uongozi na uanachama akina KREDO na kamanda MBOYA?????

unaongea nini wewe???? jibu hoja changia hoja... acha kubeba tu nazi hapo juu.
 
tunachotaka,hasa wana Arusha ni kuondoa magamba madarakani,mambo mengine tutakusikiliza baada ya 2015

SWADAKTA, MASALIA YANAANGAIKA SANA, OUR INTEREST NI KUONA CCM INAKUWA CHAMA CHA UPINZANi,
 
Huyo bin watch eight na double life yake hana lolote, ni magumashi tupu. Kawapata magumashi wenzake basi wanamuona eti ni super agent. Tanzania wajinga hawawezi kuisha kutapeliwa kimawazo. My day!

Utakuja kuwasikia siku moja wakisema bin watch eight naye ni salia. Huyu watch eight alikosana na wenzake kwa sababu ya mgao tu hakuna lolote.
 
4.Tuhuma zenu are so cheap and very poorly structured kiasi kwamba hataanaye tuhumiwa hawezi kupatatabu ya namna ya kuwajibu.

Mkuu unategemea nini toka kwa vifuu vya nazi? Halafu usisahau posho zao za Lumumba
 
Tunajua Lema Anawakera sana Wazee wa Lumumba ( Magamba) Kwakuwa tumeshajua ujinga wenu na upuuzi wenu na sisi tutawapuuza maana mjinga hajibiwi hujibiwa na mijinga mwenzake... Chadema ni Taasisi imara na itaendelea kuwa Imara na Kamwe haitatetereka, Lema kapitia Misukosuko mingi ya Kutengenezwa na CCM. Wanaojua ukweli wa hizo Propaganda ni Wananchi Wa Arusha na Siku zote waneendelea Kuwapuuza Vibaraka Wa CCM kama wewe Mleta Mada hapa.

Chadema Tutaendelea kuwapigania Watanzania wenzetu na Kamwe Hatutakatishwa Tamaa na Watu kama nyie.... Sahahuni kuhusu Arusha Kamwe hamuwezi kuwa na Mamlaka nako mtaendelea kuisikia tu arusha na wengine siku hizi mnajipendekeza ilimuweze kuingia Arusha na Kufanya mikutano... Ila hamtafanikiwa Tumewajua siku nyingi na Tumeutangazia Umma kuwa nyie ndiyo maadui wa Rasilimali za Umma. Mapambano yanendelea..... Tutashinda...

:A S 41::A S 103::A S 27::A S-frusty::A S 101::wave::crazy:
 
mkuu,wewe kweli unakipenda chadema au unafuata upepo jinsi unavyovuma mana huna hoja hata kidogo, umetawaliwa na mahaba ambayo hayatakusaidia huko mbele....chama kinastawi kwa kujikosoa sio kukumbatia maovu,au wewe ni gamba nini???

sasa si ndo mana nikakushauri mkuu uondoke kwenye chama hiki kilichokumbatia uovu uende kwa hicho chama chako safi kisichokunbatia uovu huku ukitwachia chadema yetu,. Tumaipenda na wala hatujafundishwa kuipenda na tunaijua vizuri.
Maccm bwana
 
Lema ni janga la Taifa.

Njoo Hapa na ID yako maana hatujui Tunajibizana na Mtu wa Aina gani, Umekuwa ukipenda sana Propaganda za Kijinga kuliko uhalisia wa mambo, Mambo ya msingi huwa hujadili ila mambo ya kipuuzi hupenda kujadili kweli kweli.... Sasa Onyesha ID yako, Tutapema hoja zako kuwa unastahili kujibiwa na viongozi wa kitaifa,mkoa,wilaya,jimbo,kata,Tawi ama Msingi..... maana vitu vingine Huwa vinapatia ufafanuzi na ngazi Husika.... Funguka kwa ID yako kama unavyofunguka maneno yako..... utajibiwa kila kitu..... Karibu sana mkuu....
 
ngoja niendelee kusoma michango ya waungwana...:ranger:!
 
Tunajua Lema Anawakera sana Wazee wa Lumumba ( Magamba) Kwakuwa tumeshajua ujinga wenu na upuuzi wenu na sisi tutawapuuza maana mjinga hajibiwi hujibiwa na mijinga mwenzake... Chadema ni Taasisi imara na itaendelea kuwa Imara na Kamwe haitatetereka, Lema kapitia Misukosuko mingi ya Kutengenezwa na CCM. Wanaojua ukweli wa hizo Propaganda ni Wananchi Wa Arusha na Siku zote waneendelea Kuwapuuza Vibaraka Wa CCM kama wewe Mleta Mada hapa.

Chadema Tutaendelea kuwapigania Watanzania wenzetu na Kamwe Hatutakatishwa Tamaa na Watu kama nyie.... Sahahuni kuhusu Arusha Kamwe hamuwezi kuwa na Mamlaka nako mtaendelea kuisikia tu arusha na wengine siku hizi mnajipendekeza ilimuweze kuingia Arusha na Kufanya mikutano... Ila hamtafanikiwa Tumewajua siku nyingi na Tumeutangazia Umma kuwa nyie ndiyo maadui wa Rasilimali za Umma. Mapambano yanendelea..... Tutashinda...
Mkuu hawa watu wa magamba wakitaka kujua Lema ni nani Arusha wawaulize kina mama sokoni, mamantilie, machinga, waendesha boda boda, waendesha taxi na watu woote wa kada ya chini watapata majibu!!!! Lema kwa hapa Arusha hawamuwezi, single yao ya mahakama imefeli hii ya kina mamaporojo haina lolote!!!!Mwacheni Lema afanye kazi ya ubunge mliyomzuia kwa miaka miwili tafadhari!!!!

kweli wewe unatumia kichwa kufugia nywele peke yake...

1.lema hajapewa kiwanja akajimilikisha????

2.hajapewa trekta kwa ajili ya wajane na yatima akaamua kulitumia kwa manufaa yake??

3. hawapingi makamanda wasomi kujiunga na kukijenga chama????

hajashawishi kuwafukuza uongozi na uanachama akina KREDO na kamanda MBOYA?????

unaongea nini wewe???? jibu hoja changia hoja... acha kubeba tu nazi hapo juu.

unatia kichefuchefu, umetoka Bagamoyo kwa vichwa nazi km j....m....k?
 
sio kila jambo ni FITINA,chukueni hatua,fanyeni uchunguzi,kama si kweli walioandika haya wachukuliwe hatua na ikidhibitika ni kweli kanuni,taratibu na Sheria zenu zifanye kazi ni kwa mstakabari wa chama chenu na si vinginevyo.
maana kila jambo ukiliona linakugusa na ukaliacha eti kwa sababu halikupendezi litaharibu mwelekeo baadae.
 
ndg yangu maporogo hyo document iliandikwa muda mrefu baada ya mgogoro ule wa madiwani Arusha. Na ulikuwa na lengo la kudhoofisha chama kutoka kwa madiwani waliofukuzwa na kukimbilia mahakamani. Hvy lengo lao lilikuwa kumshutumu lema kwa kile walichoamini kuwa ni yeye ndiye aliyesababisha kumbe riyo. Bt asante kwa docment yako kwa kuwa haukujua ilivokuwa.

Je, Dr. Slaa alichukua uamuzi gani baada ya kuipata document hii?
 
Ha ha ha ha...Reallly? Sio kwamba tumefika hapa tulipo kama taifa kwa sababu ya Udhaifu wa Jakaya Mrisho kikwete.?

Na tunaweza kudidimia zaidi kama nchi itatwaliwa na chama chenye mwenyekiti na katibu dhaifu asiyeweza kushughilika ufisadi ndani ya chama chake.
 
Back
Top Bottom