Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

sio kila jambo ni FITINA,chukueni hatua,fanyeni uchunguzi,kama si kweli walioandika haya wachukuliwe hatua na ikidhibitika ni kweli kanuni,taratibu na Sheria zenu zifanye kazi ni kwa mstakabari wa chama chenu na si vinginevyo.
maana kila jambo ukiliona linakugusa na ukaliacha eti kwa sababu halikupendezi litaharibu mwelekeo baadae.

Unafiki,unafiki,unafiki,unafiki.Umechangia vizuri ila umetumwa.Hatupumbaziki.Endelea na wengine wote ni unafiki tu.
 
Mods, ziweke wazi hiyo document naona naandamwa mimi au mwanaJf yeyote aziweke wazi kwani zina ushahidi wa ninachosema dalili hizo ni mbaya kwa chadema Arusha.

Sasa mbona hazina sahihi na zimeandikwa kwa komputer? kwa nini kila jina lisiandikwe kwa mkono?
 
LEMA kapatikana akitaka kutegua hiki kitendawili bora ajitokeze kutoa majibu ya tuhuma hizi kabla hazijasambaa na kuaminika zaidi.
 
sio kila jambo ni FITINA,chukueni hatua,fanyeni uchunguzi,kama si kweli walioandika haya wachukuliwe hatua na ikidhibitika ni kweli kanuni,taratibu na Sheria zenu zifanye kazi ni kwa mstakabari wa chama chenu na si vinginevyo.
maana kila jambo ukiliona linakugusa na ukaliacha eti kwa sababu halikupendezi litaharibu mwelekeo baadae.
Sasa upoteze muda kuchunguza upuuzi, malalamiko haya yalikuwa kabla ya kesi lema kuamriwa je kama Arusha haimtaki tena uliona wana Arusha walivyo jitokeza kumpokea? je hiyo siyo ishara tosha, jeo umefatilia mikutano ya laribuni ya Lema umeona witikio wa watu je kwa wingi wa watu siyo ishara tosha kuwa anakubarika yeye na chama chake ? je ulifatilia mkutano wa CCM ulioongozwa na mawaziri wapatao sita na katibu na katibu mwenezi wake uliona aibu waliovuna Sheikh Amri Abeid.....

Swala la kiwaja
Trekta
kuna tread humu humu JF ilianzisha yote hayo yaliwekwa wazi jipe muda pitia utapata ukweli...
 
LEMA kapatikana akitaka kutegua hiki kitendawili bora ajitokeze kutoa majibu ya tuhuma hizi kabla hazijasambaa na kuaminika zaidi.
Kwani zimetoka lini, kama uko Arusha wala huto maliza kusoma huo upuuzi wa magamba..
 
Unafiki,unafiki,unafiki,unafiki.Umechangia vizuri ila umetumwa.Hatupumbaziki.Endelea na wengine wote ni unafiki tu.
shukrani
maana unaweza elezwa na majirani kuwa mke/mume wako anahawala pembeni,kwa kuwa unaupendo wa hali ya juu unaweza waita watoa habari ni wanafiki na wapiga majungu,ila siku ukiyaona kwa macho zile sentesi zetu za ningerijuwa huwa zinajitokeza.
JF ni mahala pa kusemea,kutoa maoni na kubadirishana mawazo,hakuna anayelazimishwa kufanya kile anacho ambiwa,ukiona mda changia na usiogope kuitwa mnafiki.
 
Sasa upoteze muda kuchunguza upuuzi, malalamiko haya yalikuwa kabla ya kesi lema kuamriwa je kama Arusha haimtaki tena uliona wana Arusha walivyo jitokeza kumpokea? je hiyo siyo ishara tosha, jeo umefatilia mikutano ya laribuni ya Lema umeona witikio wa watu je kwa wingi wa watu siyo ishara tosha kuwa anakubarika yeye na chama chake ? je ulifatilia mkutano wa CCM ulioongozwa na mawaziri wapatao sita na katibu na katibu mwenezi wake uliona aibu waliovuna Sheikh Amri Abeid.....

Swala la kiwaja
Trekta
kuna tread humu humu JF ilianzisha yote hayo yaliwekwa wazi jipe muda pitia utapata ukweli...

mada haijasema LEMA hapendwi Arusha bali inamtuhumu ana kashfa huku akijificha kwenye kivuli cha umaarufu na kupendwa.
 
LEMA kapatikana akitaka kutegua hiki kitendawili bora ajitokeze kutoa majibu ya tuhuma hizi kabla hazijasambaa na kuaminika zaidi.

Zikisambaa ili mradi ni uongo zitajulikana ni za kipuuzi wala usihofu.
 
Waliokuja na shoka wameshindwa unakuja na panga? kojoa ukalale mama porojo!
 
shukrani
maana unaweza elezwa na majirani kuwa mke/mume wako anahawala pembeni,kwa kuwa unaupendo wa hali ya juu unaweza waita watoa habari ni wanafiki na wapiga majungu,ila siku ukiyaona kwa macho zile sentesi zetu za ningerijuwa huwa zinajitokeza.
JF ni mahala pa kusemea,kutoa maoni na kubadirishana mawazo,hakuna anayelazimishwa kufanya kile anacho ambiwa,ukiona mda changia na usiogope kuitwa mnafiki.

wana mahaba makubwa kwa LEMA kiasi kwamba hawaamini anaweza kutenda dhambi kwa kificho cha umaarufu na kupendwa.
 
Sasa upoteze muda kuchunguza upuuzi, malalamiko haya yalikuwa kabla ya kesi lema kuamriwa je kama Arusha haimtaki tena uliona wana Arusha walivyo jitokeza kumpokea? je hiyo siyo ishara tosha, jeo umefatilia mikutano ya laribuni ya Lema umeona witikio wa watu je kwa wingi wa watu siyo ishara tosha kuwa anakubarika yeye na chama chake ? je ulifatilia mkutano wa CCM ulioongozwa na mawaziri wapatao sita na katibu na katibu mwenezi wake uliona aibu waliovuna Sheikh Amri Abeid.....

Swala la kiwaja
Trekta
kuna tread humu humu JF ilianzisha yote hayo yaliwekwa wazi jipe muda pitia utapata ukweli...

kiongozi
nashukuru kwa maelekezo mazuri,lakini naomba ondoa shaka,maana maoni ni maoni,kila mtu anahaki ya kusema lolote lile jinsi aonavyo inafaa na jinsi alivyoielewa mada husika,yale ni maoni yangu na hakuna sehemu niliyoweka shaka na ndio maoni yalivyo.
kama haya yaliongelewa humu basi sikuyaona na ningeyaona labda nimgekuwa na maoni tofauti,maana maoni yangu huwa si ya kulaumu mtu na kupendelea mtu kwa upendo nilionao kwake,napenda kutoa maoni nikiwa huru pasi ya kufungamana na jambo lolote lile.
na ndio maana nikasema kama sikweli walioandika hayo wachukuliwe hatua stahiki,huku liona hili,umeliona lile la kama ni kweli sheria,taratibu na kanuni za chama zichukue mkondo wake baada ya uchunguzi,kwa nini umeliona hili la pili na hukuliona lile la kwanza?
 
mada haijasema LEMA hapendwi Arusha bali inamtuhumu ana kashfa huku akijificha kwenye kivuli cha umaarufu na kupendwa.
hayo ni yako na magamba, sisi wana chadema hatutaki kusikia chochote kuhusu Lema subiri2015 ipite kwa sasa ni jinsi ya kuwatoa ccm tu,madarakani.kama ni pesa wacha wale mbona magamba wamekula nyingi,tusichotaka sisi wanachadema ni kuondoa ccm.utuambii kitu chochote
 
mada haijasema LEMA hapendwi Arusha bali inamtuhumu ana kashfa huku akijificha kwenye kivuli cha umaarufu na kupendwa.

Kwa vile mnatafuta umaarufu kwa kupitia chadema na hususan wewe kupitia Lema haya umekuwa maarufu kachukue posho kwa vifuu wenzio. Sisi tuliomchagua, tumemchagua tu hata angekuwa na kilema cha ------ kama chako; thamani yake tunaijua wenyewe. Ulisema hujui uhalali wa hilo Nitakujulisha maana naona humu kwenye jamvi unasoma juu juu.

Waliotayarisha hiyo wanakiri kuwa walitayarisha kwa lengo la kumtwisha mzigo Lema wa madiwani waasi. Waliosaini ni vinara wa mpango wote waliokamata ngawira ya Pinda. Wengine hawakusaini kwa sababu walikatwa mapanga. Mwisho wa yote wale madiwani wamefukuzwa uanachama wa CDM wamepoteza kesi mahakamani na CCM imewalipia gharama.

Kajitawadhe ulale
 
Kwahiyo unaomba msaada ili tumshambulie lema au unakera na nini?
Aliyekuroga kafa
 
Back
Top Bottom