Nitawashangaa viongozi wa chadema kama wataacha shughuli zao na kuja kutoa tamko kwa kujibu hoja za uwongo zilizotengenezwa na wapumbavu.
kwanza hao watu hawajulikani wanatokea wapi.
sio kila jambo ni FITINA,chukueni hatua,fanyeni uchunguzi,kama si kweli walioandika haya wachukuliwe hatua na ikidhibitika ni kweli kanuni,taratibu na Sheria zenu zifanye kazi ni kwa mstakabari wa chama chenu na si vinginevyo.
maana kila jambo ukiliona linakugusa na ukaliacha eti kwa sababu halikupendezi litaharibu mwelekeo baadae.
Na huu ndio udhaifu wenu mwengine PRO CHADEMA JF Mnadhani kila anayewaambia ukweli unaouma ni mwanachama wa CCM....Na kwa post hii una hesabiwa kule lumumba...
Na huu ndio udhaifu wenu mwengine PRO CHADEMA JF Mnadhani kila anayewaambia ukweli unaouma ni mwanachama wa CCM....
Zichukulieni hizi kama changamoto za kuimarisha chama si kila kitu muanzishe ligi isiyo na ulazima
Nilishawahi kusema humu ndani,Lema ni tatizo,na sio solution.
kweli kabisa baba angu si hata mm nta sha ntashangaa kweli....kwan huyu si kijana wetu wa Pale Machame
Ni kweli kabisa Lema ni tatizo kwa kuwakosesha ccm usingizi.
Kikwete mwenyewe halali kwasababu ya Lema.
Lema ni tatizo
JF kuna vituko kweli eti Kikwete halali kwasababu ya Lema.
Lema ana athari gani katika siasa za Tanzania wameishindwa mabosi wenu Dr Slaa na Mbowe hawa wote JK kaishapiga chini.
Lema ana zaidi ya kupanda juu ya bonet la gari huku umelala na gari linakwenda mwendo kasi...
Na tunaweza kudidimia zaidi kama nchi itatwaliwa na chama chenye mwenyekiti na katibu dhaifu asiyeweza kushughilika ufisadi ndani ya chama chake.
Manago, kwa ufafanuzi kidogo tu, hawa madiwani walitimuliwa na Chadema, lakini serikali ya CCM ikalazimisha waendelee na nyadhifa zao wakati wakisubiri hukumu ya kesi waliofungua mahakamani kupinga kufukuzwa kwao. Hata hivyo pamoja na kushindwa kesi bado CCM ikawashauri wakate rufaa ambayo nayo haikufanikiwa na wakaamriwa kulipa dharama za kesi. Hapo mshauri wao mkuu, CCM, kama kawaida akawakana na kuwakimbia.
Sasa Manago, hebu tuambie hiyo barua iliandikwa lini na wakati gani. Je ilikuwa ni kabla au baada ya hukumu ya rufaa ya madiwani hao kutolewa? Naomba ukishapata majibu usikimbie, rudi hapa tuendelee na majadiliano lakini wakati unafanya homework, hebu tafakari hiki kipande;
Manago, CCM ni genge la wahuni...they are capable of doing just about anything to retain power. Poor Manago, it really pains me that there are my fellow Tanzanians, like you, who will always fall for this kind of hogwash! What's the matter with you people? Come on, wake up...this is 2013!
Upuuzi kama huu unamfanya mtu awe dormant! Hivi walioweka mabilioni Uswisi wameishia wapi? Gesi, Simbion, Richmond yameshasahaulika? Au Lema anawasumbua vichwa wana CCM