kiongozi
nashukuru kwa maelekezo mazuri,lakini naomba ondoa shaka,maana maoni ni maoni,kila mtu anahaki ya kusema lolote lile jinsi aonavyo inafaa na jinsi alivyoielewa mada husika,yale ni maoni yangu na hakuna sehemu niliyoweka shaka na ndio maoni yalivyo.
kama haya yaliongelewa humu basi sikuyaona na ningeyaona labda nimgekuwa na maoni tofauti,maana maoni yangu huwa si ya kulaumu mtu na kupendelea mtu kwa upendo nilionao kwake,napenda kutoa maoni nikiwa huru pasi ya kufungamana na jambo lolote lile.
na ndio maana nikasema kama sikweli walioandika hayo wachukuliwe hatua stahiki,huku liona hili,umeliona lile la kama ni kweli sheria,taratibu na kanuni za chama zichukue mkondo wake baada ya uchunguzi,kwa nini umeliona hili la pili na hukuliona lile la kwanza?