UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 8,528
- 7,732
Hana vyote hivyo viwili, na hana exposure. Labda kwa kukaa Canada itamsaidia kidogo, lakini kikwazo ni kuwa anaamini kuwa anajua kila kitu kwa hiyo hahitaji kujifunza chochote!Mara nyingi nimekuwa nikisema Lema ana Uelewa mdogo au Elimu ndogo.
Bottom line: atabaki mbumbumbu maisha yake yote.