Godbless Lema huwa anakosa Busara/Hekima. Ingawa yeye anaamini ana busara na hekima sana. Hapa alimkosea sana P. Msigwa

Hapo ndio mjue jinsi chadema ina viongozi hovyo kabisa hivi hawa nfio wa kuwapa nchi

Kama Magufuli aliweza kupewa nchi wakati hana hata busara ya nusu ya aliyonayo Lema, nani atashindwa kuongoza nchi hii kwa kukosa busara? Alichokuwa anafanya Ndugai bungeni na akaweza kuendelea kuwa spika, inawezekana vipi busara ikawa kigezo cha mtu kama Lema kukosa uongozi? Tukubali tu kuwa hapa nchini kwetu busara sio kigezo cha kuwa kiongozi, bali sifa nyingine kabisa.
 
Mmefanya majungu hapo kijani mmeona hamtosheki Sasa mnataka kuyavusha mipaka, mlimpiga nyundo ya kichwa Mzee wa galilaya Kwa kuongea ukweli, kisa mnaogopa kukosolewa.

Chadema wanaamini katika haki na zaidi katika uhuru wa mawazo. Sasa mjue TU mzee wa galilaya a anaongeza nguzu katika kuipata katiba mpya ya wananchi, mwanzo hakua anaamini kama ni muhimu ila baada ya kukutwa na zahama Sasa ameelewa.
Mbona ulikuwa unashangilia?
 
Peter Msigwa alipost maoni yake akiamini kuwa Chenge ni mtu ambaye angefaa kuwa Speaker wa Bunge. Pamoja na kuwa anaona Bunge halieleweki ila anaamini Chenge ni mtu mwenye msimamo na msomi wa kweli.

Lema kwa upumbavu mkubwa akaandika katika Twitter ya mwenzie. FUTA. huu ni upumbavu. Ni kuingilia uhuru wa mtu. Lakini pia angekuwa na busara. Alipaswa amfuate Peter pembeni kumwambia kwa nini anashauri kuwa ile Twitter/Post si sahihi.

Muungwana angefanya hivyo na si kumwamuru Ndugu Msigwa afute utadhani anamwambia Mtoto wake. Peter alifuta but nadhani baadaye akafikiri vizuri na kuamua kuirudisha tena.

Mara nyingi nimekuwa nikisema Lema ana Uelewa mdogo au Elimu ndogo. Bado hajaweza kuwa na busara na kujua namna ya ku deal na mambo. Nakumbuka mara kadhaa pia amekuwa akishushuliwa na Tundu Lissu kwenye mambo kadhaa. Hasa ya kisheria huko Club House.

Shida ni kuwa yeye Lema anajiona anajua sana.ana busara,akili na hekima. Uhalisia ni kuwa ni mwongeaji sana ambaye hujikuta mara nyingine hajui vizuri hata anachoongelea ingawa yeye anaamini anakijua.

Nimekuwa nikijaribu kumsikiliza kwenye mazungumzo mbalimbali. Lema ni jamaa tu ambaye amepata platform ya kisiasa lakini kichwani hana tofauti sana na Musukuma au Kibajaji.

Anapaswa ajifunze kuheshimu wenzie..na ajifunze kufahamu maisha jinsi yalivyo. Ajifunze kupata busara.

View attachment 2075432
Hapo kwenye Msukuma -
Unamaanisha Msukuma gani - au huyu Dr?
 
Na wewe kwa nini haujamfuata Lema private ukamueleze haya yote?

Samething kwako pia umekosa busara,elimu na akili,tena wewe ni zaidi ya mjinga kwa sababu umeshindwa ata kujifunza kwenye kosa la Lema...Acha kuishi kwa unafiki.
Wanafiki wanapata mikosi sana
 
Peter Msigwa alipost maoni yake akiamini kuwa Chenge ni mtu ambaye angefaa kuwa Speaker wa Bunge. Pamoja na kuwa anaona Bunge halieleweki ila anaamini Chenge ni mtu mwenye msimamo na msomi wa kweli.

Lema kwa upumbavu mkubwa akaandika katika Twitter ya mwenzie. FUTA. huu ni upumbavu. Ni kuingilia uhuru wa mtu. Lakini pia angekuwa na busara. Alipaswa amfuate Peter pembeni kumwambia kwa nini anashauri kuwa ile Twitter/Post si sahihi.

Muungwana angefanya hivyo na si kumwamuru Ndugu Msigwa afute utadhani anamwambia Mtoto wake. Peter alifuta but nadhani baadaye akafikiri vizuri na kuamua kuirudisha tena.

Mara nyingi nimekuwa nikisema Lema ana Uelewa mdogo au Elimu ndogo. Bado hajaweza kuwa na busara na kujua namna ya ku deal na mambo. Nakumbuka mara kadhaa pia amekuwa akishushuliwa na Tundu Lissu kwenye mambo kadhaa. Hasa ya kisheria huko Club House.

Shida ni kuwa yeye Lema anajiona anajua sana.ana busara,akili na hekima. Uhalisia ni kuwa ni mwongeaji sana ambaye hujikuta mara nyingine hajui vizuri hata anachoongelea ingawa yeye anaamini anakijua.

Nimekuwa nikijaribu kumsikiliza kwenye mazungumzo mbalimbali. Lema ni jamaa tu ambaye amepata platform ya kisiasa lakini kichwani hana tofauti sana na Musukuma au Kibajaji.

Anapaswa ajifunze kuheshimu wenzie..na ajifunze kufahamu maisha jinsi yalivyo. Ajifunze kupata busara.

View attachment 2075432
WEWE MWENYEWE HUNA BUSARA HATA CHEMBE NAKUJUA VIZURI SANA
 
Mchungaji msigwa kwanini anaamini mzee chenge ni SAHIHI wakati huyo chenge anatoka huko huko CCM?
Anadhan upinzani utapata unafuu gani chenge akiwa spika wa bunge?
KIUFUPI HAKUNA MTU SAHIHI PALE CCM wote wapo kwa maslahi ya ccm.
The good, the bad, the ugly
 
WEWE MWENYEWE HUNA BUSARA HATA CHEMBE NAKUJUA VIZURI SANA
Lile la mimi kukualika dinner uje na mademu wenzio watatu halafu mimi kuwananii ndo mpaka leo unaona sina busara? Acha iwe hivyo dada wewe mwenyewe ulianza kunikosea. Mimi si bwege. Kama uliwaleta wale vyangu nao wanaliwa ...ngoma draw.
 
Lema ana ile legacy ya ujuaji juaji wa vijana wengi wa Arusha ambao kwao kila mmoja anajiona mjuaji wa kila kitu.

Pia tunakumbuka rekodi yake ya awali kabla ya ubunge.......

Ilikuwa shida kwenye magari ya watu.....
TAtizo la ujuaji wa kifala analo. Huwa anadhani anajua. Kuna siku club house aliongelea jambo flani kuhusiana na kesi ya Mbowe kwa wanasheria. Lissu alimpinga waziwazi. Lema ana ujuaji wa kishamba sometimes. Lissu nadhani alikwazika kidogo kuona jamaa anazungumzia mambo asiyoyajua kama anayajua.
 
Lile la mimi kukualika dinner uje na mademu wenzio watatu halafu mimi kuwananii ndo mpaka leo unaona sina busara? Acha iwe hivyo dada wewe mwenyewe ulianza kunikosea. Mimi si bwege. Kama uliwaleta wale vyangu nao wanaliwa ...ngoma draw.
Umetupotezea muda mimi na mademu wenzangu,nimeingia na wewe gesti nimekiona kibamia chako
 
Mwizi wa magari Lema, ulijua ana busara au elimu au nidhamu, did you expect that toka kwa mtu wa caliber ya hivyo?

Ww ndio una matatizo uliwaza vipi Lema awe na busara?
Leta ushahidi kuonesha alikuwa mwizi wa magari. Mnakuwa watu wa ajabu kuzushia zushia watu mambo. Mnakeraga Sana.
 
Leta ushahidi kuonesha alikuwa mwizi wa magari. Mnakuwa watu wa ajabu kuzushia zushia watu mambo. Mnakeraga Sana.
Kwani mimi nimetamka wapi wizi wa magari?

Kwa kuwa umenyooshea jibu mstari....sasa nikuulize...kwani ni uongo???
 
Hapo ndio mjue jinsi chadema ina viongozi hovyo kabisa hivi hawa nfio wa kuwapa nchi
Sasa kwa taarifa yako tu ni kwamba, hawa wa ccm wanaoendesha hii nchi na ambao wamekuwa wakiiendesha huko nyuma ni bogus afadhali hata hawa wa upinzani tusiowajua.

Nafuu mwanamke ambaye bado hujatembea naye kabisa unaweza ukamtamani kuliko huyu uliyemzoea, nafikiri kama wewe ni mwanaume wa ukweli, utanielewa vizuri.
 
Kwani mimi nimetamka wapi wizi wa magari?

Kwa kuwa umenyooshea jibu mstari....sasa nikuulize...kwani ni uongo???
Mbona na wewe sasa huna msimamo? Mnakalia majungu tu, huyo Ndugai naye mwambieni basi aturudishie hela zetu alizotuibia kwa kisingizio cha kwenda kutibiwa India.
 
Umetupotezea muda mimi na mademu wenzangu,nimeingia na wewe gesti nimekiona kibamia chako
Lakini shida ni wewe kuwa na Bakuli.... Wengine hiki kibamia kinawafaa sana ... Haya siku nyingine nitatumia mkono au mguu
 
Back
Top Bottom