Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Aluta koooooooooontiiiiiiiiiiinyuaaaaaaaaaaaaa ni wakati wa serikali kusomeshwa alama za nyakatina wanachi kama wameshindwa kusoma alama za nyakati na kutumiwa na wahuni kupitia mahakama
lema tuko pamoja mkuu embu uliza mapema lini uchaguzi wanafanya tuufanyie kazi najua hata kama tuko mbali maombi yetu yatawaaibisha mafisadi
 
nimemsikia pia amedai kuwa January Makamba alimpigia simu akamwambia uchaguzi utarudiwa
 
AND I QUOTE

"Lema katoka kuongea na ITV na RADIO ONE sasa hivi katoa msimamo wake lakini ametoa uthibitisho wa watu kama January Makamba alisema kuwa uchaguzi unarudiwa, Mwigulu Nchemba, Halima Mdee ameambiwa na mtu wa state house kabla na yeye alipigiwa simu na watu wausalama wakimtaka awe mvumilivu kwa lolote, then tangu asubuhi polisi walijaa maeneo mabalimbali ikiwemo walizunguka ofisi yake, HIVYO ANASEMA NI SHINIKIZO TOKA STATE HOUSE, msimamo atatoa baadaye baada ya kuongea na Wakuu wake mkoa na Taifa na pia ataongea na wananchi wake ila hataki kuwa mbunge wa rufaa au mahakama"


END OF QUOTE
 
Walimu hawapewi mishahara, madawati hakuna! haya wala serikali haijali lakini kurudia uchaguzi utakaogharimu za 20b poa tu! yani tunamaputo huko serikalini! sasa tunasubiri atakayekuja kufungua kampeni za ccm ha ha ha ha! Namuonea huruma mkapa! haha this time mzee kataa unaaibishwa mzee.

atazindua lowassa. lol!
 
Hata wafanye nni kama ipo ipotu!hakuna kupoteza mda kukata rufaa,baada cku90 mtanange unarudiwa.makamanda wapogado
 
Duh noma sana! Mbona hapakuwa na ushahidi? je anaruhusiwa kugombea?

Ameruhusiwa kugombea tena nilikuwa namsikiliza sasa hivi akihojiwa redio one kwenye habari zilizotufikia amesema yeye hatakata rufaa kwani yeye si mbunge wa rufaa kama Hamad Rashidi na Kafulila na kwa taarifa alizopewa toka juzi alikuwa anajua atashindwa baada ya jaji kuingiliwa maamuzi na CCM,
 
Zuberi Mwombeji + Thobias Andengenye + Magesa Mulongo + Komredi Lowassa + Mary Chatanda (Wote wakiwa ndani ya uchaguzi mdogo) = Vurugu nyingine Arusha.
 
Udhalimu na ufedhui unaofanywa na chama cha magamba utaaibishwa na matokeo uchaguzi ukirudiwa.mfa maji............
 
Mungu ni Mkubwa na yupo na Watanzania. Kihistoria, Mchakato wa kuikomboa jamii inayokandamizwa, huwa ni mgumu mmo!!!! Hivyo tutegemee mengi ya ajabu ya kushangaza na kuumiza na hata roho za wapiganaji kupotea. Wapenda mabadiliko, ni wakati wa kushikamana shetani asipewe nafasi. ushindi upo karibu sana.
 
Haina shida LEMA jembe ubunge wake hata kama akirudia kesho uchaguzi
Pole mheshimiwa but ushindi wako worry out,ppo wa Atown nawaamin:nod:
 
Duh noma sana! Mbona hapakuwa na ushahidi? je anaruhusiwa kugombea?

Hapo ndipo ushangae zaidi anaruhusiwa kugombea sasa walikuwa wanataka nini kumdhibiti kwa style gani kumbu CHADEMA tunaweza mweka mgombea mwingine ambaye akawa ndio fundisho kubwa zaidi kwa CCM twamweka Dr. Slaaaa tune je watafurukuta tena au? Maaana hukumu hivyo tayari ilisha ona mbali sana na ndiko huko wanataka na mawazo yao wanataka CDM imweketena kwenye ubunge ili wamwondoe mapema ila janja yao twisha ijua kabisa

kesi ambayo kidogo ina mvuto ni ile kesi ya Ukonga ya Mahanga maana hata mashahidi wanasema ukweli kuliko kesi ya Lema na Tundu Lisu.

Twataka kujua Jaji alitoa hukumu kwa vigezo vipi?? Isije ikawa kuwa Sheria zetu za nchi bado ziki mlinda zaidi Mwanamke kuliko mwanaume!!!!


 
Msikini...leo ndio mnamkumbuka mungu!! kudadadeki!!!!!
Yaani we Masikini kweli.Mungu wanamkumbuka kitambo ndio maana anawaonyesha njia ya kuiondoa CCM madarakani.Arumeru wamekwambia Walianza na Mungu wakamaliza na Mungu.Sasa Arusha the same applies,kama unajua kiingereza,maana najua nyie na Kiarabu Kiarabu na nyinyi.Arusha tunakuja kihivi:"Uweza Watoka JUU"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom