Godbless Lema avuliwa ubunge

Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Nimetoka mahakama kuu muda si mrefu, Jaji amemaliza Judgement majira ya saa nne kamili na hivyo kumvu ubunge Lema,,,
 
hasara kwa taifa maana uchaguzi utarudiwa na mshindi wameshamjua
 
so sad. Inabidi chadema wajipange kuona kama kuna haki haikutendeka ili wakate rufaa.
 
Kwa hiyo mamvi atamsimamisha yule demu wake tena kushindana na Lema?
 
Any way kama Arusha kulikuwa hakuna ushahidi wa kutosha na CCM wameshinda natumai,Ukonga kwa kuwa kuna ushahidi wa kutosha CHADEMA itashinda na ubunge wa mpendazoe.ila mahakama ilisubiri matokeo ya arumeru ndo itoe hukumu.Vipi anaruhusiwa kugombea tena au kama wassira?
 
hivi watanzania tumo kweliii ina maana mahakama haikubaliani na wapiga kura wa arusha...u wasting our taxes damn u shitsss.... hapo hamliiii ktu hata mlale mnara wa mwenge uchi
 
sawa mahaka imefanya kazi yake lakini haki ya watu haibadilishi bali huchelewa tu najua na natambua kabisa hata tukipiga kura za kwenye mstri kwa kusimama nyuma ya mgombe yaani kura za wazi bado lema atapeta sana..so lema ingia tena kwenye ulingo utapeta sana
 
Nipita Tu wadau,Ila ni bora Jaji angesoma alama za nyakati.. Angeacha tu amalize muda wake uliobaki,watakaoumia ni wananchi wa hali ya Chini sana.. Mfano kuna jamaa yangu katoka kunitumia msg anasema anaomba nimtafutie Chumba DSM haraka hataki vurugu zimkute Arusha.. Wapi inakwenda jamani na wengine wanashangilia wakati wao wanajua hawatoathirika na chochote.
 
Mahama kuu kanda ya Arusha yamvua ubunge mh G.LEMA kufuatia kesi iliyo kuwa ikimkabili ya kutoa maneno ya ubaguzi wa kijinsia kwa aliyekuwa mgombea wa ccm Dr.batilda Buriani.Radio one breaking News
 
Jamani eeh haya magamba yanaanza kutafuta njia ya kulipa kisasi.
 
Ni hukumu ya upendeleo na haina msingi!
pk
hiyo hukumu nimeipenda maana ni muimarisho wa chama na sasa watajua SAUTI YA MUNGU SIYO SAUTI YA LOWASSA
KAKA MSIOGOPE MSIFADHAIKE BWANA WA MAJESHI YU PAMOJA NASI NA ALAANIWE ATEGEMEAYE MIKONO YA BINADAMU KAMA WAKINA LOWASSA NA WENZAKE ..MWAMINI MUNGU WAKATI WA KUSIMAMA NA MUNGU NA WANA ARUSHA KUONYESHA UJINGA AMTAKI TENA MNAKOSEA WAKATI WA KWENDA KURUDI MNARUDI WENYEWE
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI CHADEMA
UNAJUA TUME WANATAFUTA SEHEMU YA KULA NAYO MSILALAMIKIE TU MAHAKAMA..
 
CCM hata mfanyeje ndo kwanza mmetutia hasira! Arusha hata mlete wau wote wa TZ pale hamshindi ng'oooo
 
Lema bado ni mbunge wa Arusha hata asiponya kampeni kwa uchaguzi unaokuja atashinda tena
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom