Godbless Lema avuliwa ubunge

Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Unless kuna linginge limejificha aliyewashauri CCM watumie hii strategy watakuwa walikosea ile mbaya. Kwa sababu sasa itawageukia na kuwa double blow kwao. Yaani ningependa sana kujua ni nani hasa aliwashauri CCM kutumia hii ill advised strategy.

Mkuu Ogah, pale juu kauliza kama CCM kina political strategists!! Sidhani kama kinacho; kwa kinavyofanya mambo sasa, hakika hakina political strategists.
Sasa chama kipo kipo kama "Hollywood celebrity" hasiye na wardrobe stylist; yaani anaweza kukurupuka toka kutoka kwake akiwa amejivalia kiajabuajabu, kiasi cha kuacha raia wakiwa wameduwaa!!
 
"If to bring Tanzania back to prosperity means WAR,Then let me be a soldier!
And in being so,I dont care whether I am running towards death,or death is running towards me",by Eliahkamwela;KIAPO CHA MAPAMBANO HADI KIELEWEKE!
 
Hilo nililitarajia but uchaguzi hata urudiwe leo magamba hawanauwezo wa kupambana na nguvu ya umma.
 
Unless kuna linginge limejificha aliyewashauri CCM watumie hii strategy watakuwa walikosea ile mbaya. Kwa sababu sasa itawageukia na kuwa double blow kwao. Yaani ningependa sana kujua ni nani hasa aliwashauri CCM kutumia hii ill advised strategy.
Mkuu CCM walishauriwa na Mungu, kuna namna nyingi Mungu anazozitumia kuwasaidia binadamu kuziondowa tawala dhalimu hasa akiona binadamu wenyewe wamelala basi Mungu anachokifanya uinyima maono Serikali husika mpaka kipofu hufikia wakati naye anaona kwamba hili siyo sawasawa.
 
Really!
Lakini ukiona taabu zinazidi ujue ukombozi uko around the corner!

Yes,PJ. Hii ni dalili kubwa ya ukombozi wa Tz. Lema nakumbuka aliwahi kusema yuko tayari kufa kwaajili ya ukombozi wa mwananchi. Go go Lema this is the era of human dignity!
 
Wana JF napenda kuwataarifu kuwa CDM inakata rufaa dhidi ya hukumu kwani kifungu alichosoma Judge kinamzuia Lema kugombea kwa miaka mingine mitano,nikirpoti kutoka Arusha mjini ni mimi mgeni wenu wa JF
 
Halafu utasikia jambazi la kura lililoshinda Segerea linapeta kesi ya ubunge.

Aibu kwenu mahakama
 
Mkuu CCM walishauriwa na Mungu, kuna namna nyingi Mungu anazozitumia kuwasaidia binadamu kuziondowa tawala dhalimu hasa akiona binadamu wenyewe wamelala basi Mungu anachokifanya uinyima maono Serikali husika mpaka kipofu hufikia wakati naye anaona kwamba hili siyo sawasawa.

There you go. Nami naamini sasa ni wakati wa MUNGU kutufundisha something. We do not have to worry God is in control.
 
Hebu jipange vizuri ili ueleweke usikulupuke au ndo unaamshwa sasa hivi?
 
turudi kwenye uchaguzi ili magamba wajue kwamba hatuwataki, manake kukata rufaa bado mahakama haiaminiki, bora tupige kura na kuzilinda kama last time na kama ilivyofanyika arumeru, nawakilisha
 
Sasa inadhihirisha alichoniambia rafiki yangu mkubwa moja kwenye serikali ya CCM aliniambia anamnukuu,Godbless Lema,Mnyika,Tundu Lissu wote watapigwa chini na chaguzi zikirudiwa hawatashinda kwa gharama yeyote ile
Dr Wilbroad Slaa ataondolewa duniani kabla ya 2015

Ndani ya chadema wameshapandikiza watu wao kabla ya 2014 itasambaratika

Lakini mimi kama mpenda mabadiriko ni na imani na nguvu ya umma,hakuna kiumbe chochote chini ya ardhi kinachoweza kuzuia mabadiriko muda wake ukifika
Kwa sababu CCM wamejianika uchi wa mnyama wamerahisisha njia ya ukombozi Chadema itachukua dora
Kwa mwenendo wa kesi hii ulivyokuwa wazi na jinsi hukumu inavyojidhihilisha kuwa ni ya kuchongwa Lema na Chadema watapewa sympathy vote hakuna bomu,wala washawasha wala bunduki itakayozuia upepo wa mabadiriko
Nimtahadharishe Mh Jakya Kikwete na CCM kwa ujumla wasije jikuta wanachomekwa majiti kama alivyofanyiwa gaddafi nipo hapa Dar mood opfisini kwangu imebadirika hata kwa wanoko wa CCM hawaamini kilichotokea sawa bwana mujue nchi hii ni yetu wote ,siku mutajuta hamjafa ,Usalama wa taifa ulishapoteza hadhi siku nyingi,polisi ndio usisema na sasa mahakama,sasa ngojeni hukumu ya wananchi
 
Mi nilidhani akate rufaaa kwani:
  1. Hao hao CCM wanaweza kumgeuzia kibao baadaye kuwa anamakosa hatakiwi kugombea (sijui sheria inasemaje?
  2. Kwa sababu asipokata rufaa atakuwa amekubali kuwa alitukana
Ila sema kwa huyu jaji mganda nadhani akikata rufaa tena atatafutwa mganda aje amkandamize. Basi kutokana na igezo hapo juu, hakuna cha kukata rufaa bali uchaguzi urudiwe!
Lema kata rufaa kwa wananchi, tutakuchagua.

Mkuu Arusha ni kufa na kuponna ya chadema hapa ni lazima silaha zote za mwisho zitatumika ilimradi ccm wafutike huko Arusha. Kamanda Lema anaweza kuchukuwa uongozi wa chama na Dr.. Slaa akachukua bendera ya na hapo chadema watakuwa wametumia silaha ambayo haina kukosea wala nini. Chadema wawe tayari kumpa kazi nyingine Lema ndani ya chama yenye maslahi sawa na ubunge.
 
Hapana, Lema asikate rufaa mahakamani bali kwa wananchi!
CCM haiwezi kwa vyovyote kushnda arusha mjini!
Tukisema akate rufaa still akishnda atakuwa mbunge,lakini tukirud kwenye uchaguzi itakuwa fundisho kwa magamba kuibua kesi za kijinga na mahakama kutumika kisiasa.

Hakuna sababu ya kukata rufaa wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho,maana najua ccm sasa wanaumiza kichwa itakuwaje wakishindwa tena?
 
Sidhani kama watakuwa wamefanikiwa zaidi ya kujiharibia tu,
vitu vya kupewa bwana vina madhara yake sasa jaji analazimika kumtumikia jk
jaji mwaikasu,jaji mwaikusa ,jaji lema wasingeweza kupelekeshwa kiasi hiki na kutoa maamuzi ya kipuuzi kama haya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom