Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Wanasheria hebu nisaidieni hapo juu,kifungu kipi kilimruhusu Aden Rage kugombea ubunge?Tulianzisheni nini upinzani mkachukue jimbo la tabora mjini??


Aden rage alitoka jela kwa msamaha wa rais, lakini katika hukumu yake ya rufaa mahakama ilimsafisha
 
sabodo ametoa mil 100 kupongeza ushindi wa Nasari....na amesema Lema ataapishwa mara mbili ndani ya miaka 5 kama mbunge....
 

jamaa alishind kwa kura zaidi ya 18,000 tuone sasa watawezaje kuzibadilisha kuwa -
 
Hakimu ni Mwananchi wa Arusha......!Hata CCM wakatambike, Arusha haiwezi kwenda kwa Magamba
 

Vyema.

Chama chochote makini uchukua precautions kabla ya kutoa maamuzi yoyote. Kama nilivyomwelewa Lema, ni kwamba yeye anasubiria maamuzi ya chama juu ya hili suala. Hivyo naamini CHADEMA watachukua tahadhari zote kabla ya kutoa maamuzi yoyote.

Pamoja mkuu.
 
Reactions: EMT
Mimi na familia yangu wameshaandaa kadi za kupigia kura kabisa hatutaki ujinga.......
Nafarijika sana na watu kama wewe wasiosubili kulishwa propaganda za kampeni, mtu makini anakuwa ameshapiga kura kabla ya uchaguzi wala kampeni kuanza.

Nawafagilia sana wapemba kwenye idara hii maana wao huwa hawapigi kura baada ya porojo za wanasiasa uchwara bali wao kati ya kifo na CCM wao wako radhi kuchaguwa kifo.....na huo ndio msimamo wangu. Badly kwenye familia yangu kamwe hatuwezi kukubali kuozesha binti zetu kwa mwana ccm yeyote yule, hawa ni maadui wa Mungu hata shetani ana afadhali.
 
HAPANA haina haja twende kwenye uchaguzi kwani rufaa itachukua muda mrefu kwan ccm wanaona bora r chugga ikae bila mbunge kuliko kuongozwa na lema.ni haxo tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…