Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
CCM hawamuwezi lema wakiru kwenye political field battle ground,Huu ni ukweli usiopingika ccm imechokwa hasa hasa kanda ya kasikazini,OKEY NGOJA TUSUBIRI BY ELECTION
 
Maajabu,hukumu bila mlalamikaji,hukumu bila exbit,sheria hii si sawa, msumeno huu wa ajabu unakata upande mmoja,rushwa ile ya mnairobi ruksa, jamani e solution hapa katiba tu,
 
hapa ndio napishana na gari la u.p.u.p.u...limekosa wateja linaenda kulala.....ha ha ha....hawashwi mtu leo....kudadadeki...
Preta kesho maandamano...si umepata sms eeh?...kama kawa pale NMC, tujadili hatima yetu wanaaArusha na wanademokrasia kwa ujumla!
Usisahau ile laptop yetu ya kazi!
 






Kwa hiyo hapa Jaji alikwepesha ili Lema asi dai gharama za kuhukumiwa au? Alafu munaiingiza nchi kweny Gharama zingine za uchaguzi kweli hata wewe Jaji Gabriel .R. hukufikilia uchumi wa nchi ukoje kwanza au mkisha jaa kwenye jopo lenu basi munaaamua tuuu kwani hapo kwenye siasa kuana mapungufu gani? walio shitaki kesi ni 3rd Party ambao kwangu mimi ndio walioumia sana na batilda kwani kulitumika pesa nyingi sana ambazo walimuingiza mkenge yule mama sasa wamezihakikisha zile pesa hazikulika bur na sasa zitalika tena kwa aibu ya ajabu kabisa bila kupenda.

 
Huu upuuzi wa mahakama za kitanznaia unashangaza hata Uganda na udicteta wote wa Museveni Uganda lakini majaji wa kule wako huru!!! Si hapa Tanzania majaji wetu wanaendekeza sana njaa na siasa za kijinga kwenye mambo ya maana!
 
KWELI mahakama zetu ni butu....huyo jaji alisoma wapi? au ndio wale wanapewa ujaji kishkaji?
 
Kuna mtu aliniambia juzi kwamba mapambano yanaazia arusha nikasema haiwezekani, itakua Mbeya au Mwanza.... i was wrong; Arusha ina joto jingine kabisa

Na ni hatari mno kwa jumuiya kama CCm wataendelea kucheza siasa za mwigulu na lowassa
 



Ni mawazo mazuri.

Lakini mtazamo kama huu wa kukiona CCM kama vile ni chama chenye mbinu nyingi, chenye "uwezo wa kipekee", chenye makali n.k., kiasi kwamba tunakiwa tunakiogopa, siyo mzuri. Halafu kibaya zaidi, kama tunafahamu hivyo, nini tunafanya? Je, tunaendelea kukubaliana na hali hiyo? Hivi mbona tunasahau kwamba sisi ndiyo wenye nchi!?! Inasikitisha kwa kweli.

Sidhani kama ni mtazamo chanya sana, kama sisi ambao "angalau" tuna mwanga mwanga kiasi, tunawaza hivyo, je wale ambao bado wako gizani kabisa, si wanakiona CCM kama mungu-chama!!

Kwa hali ya sasa CCM haina ujanja wowote, zaidi ya kutumia "uwoga" wa watanzania wengi, kama inavyojidhihirisha hapa JF mara kadhaa.
 
habari zote ninazo kamanda....mapambano ndio yanaanza.....
Usisahau chupa kubwa za UHAI!...shindilia nyingi kwenye buti kule, najua zitasaidia group nzima!
 
Hakuna haja ya rufaa, rufaa itachukua muda mrefu kama ilivyochukua hii kesi. Turudi kwenye kura, jaji mkuu (Umma wa Arusha) atamua bila kuogopa chama tawala.
 
Lema akate rufaa kwa wananchi!
CCM haiwezi kwa vyovyote kushnda arusha mjini!
Tukisema akate rufaa still akishnda atakuwa mbunge,lakini tukirud kwenye uchaguzi itakuwa fundisho kwa magamba kuibua kesi za kijinga na mahakama kutumika kisiasa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…