Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.

nina mashaka kama hautokuwa mwanaccm (magamba) wewe! watu wapo clever na hizi idea zenu zisizo na tija, hata mfanyeje, hata Lema azuiliwe kugombea pale, atatateuliwa mwingine, Slaa size yake sio jimbo hivyo koma kabisa!
 
ccm wamepiga mahesabu vibaya,hawakufikiria gharama za kushinda jimbo la Arusha,kwa kweli ni hasara kubwa sana kwa kuwa watashindwa vibaya kwenye uchaguzi na gharama yake itakuwa kubwa zaidi kwa chama,yetu macho
 
Nawaonea Uruma sana Ccm kwan wanatapatapa km wafa Maj.WAMLETE TENA KICHAA LUSINDE HUKU il wapate Ushind wa Matusi.
 
Ccm hata ikisimamisha jiwe itashinda Lema hajafanya chochote tangu awe mbunge zaidi ya sifa za kijinga za kukataa dhamana na kupelekwa mahabusu!

Masaburi thinking capacity - CCM mmefanya nini zaidi wa kuiba tu
 
P p p pe pe pe peop peoplesssssssssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
CCM huwapata watu kwenye mikutano kwa kuwarushia mahindi, pilau, kofia, kanga n.k. Sasa kwa uelewa wa wana Arusha si ajabu kuona idadi ya mahudhurio kwenye kampeni zitakazofuatia kuwa ktk ratio ya CDM 500:3 CCM.
 
Mahakama kuu kanda ya Arusha imetengua matokeo ya ubunge. Source TBC.
 
Ninachomuombea Lema ni afya njema na maisha marefu...Ubunge wa Arusha mjini ni wake hata kama CCM watasimamisha malaika...!
 
kama kawaida kama kawa Arusha ndo chadema na chadema ni Arusha wamemshika simba makalio haki ya ya patachimbika
 
Ccm hata ikisimamisha jiwe itashinda Lema hajafanya chochote tangu awe mbunge zaidi ya sifa za kijinga za kukataa dhamana na kupelekwa mahabusu!

mnapoteza muda na pesa zenu,
CCM kusinda jimbo la arusha mjini ni sawa na ngamia kupenya ktk tundu la sindano.
 
Jambo la maana wakuu cha msingi ni kuanza mikakati sasa kwani inaonyesha wao baada tu ya matokeo hawakutulia japo ni kwa mbinu chafu kama hizo. Jaji kamaliza CDM wanatakiwa kuanza tangu sasa hadi siku hiyo.
 
pia amezuiwa kugombea tena? kama hajazuiwa kugombea hilo jimbo ni lake,,,,ila pia kama amezuiwa kugombea magamba yatachambia sime ,,hilo jimbo haliondoki kiuraini hivyo
 
nahurumia sana pesa ztakazotumika tena kwa uchaguz mwingne ! dah poor Tanzania
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…