Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.

Hii nimeipenda .
Mh.Lema pamoja na Chadema Makao Makuu hakuna kukata rufaa.Waacha uchaguzi ufanyike August 2012.Muhimu kuanda timu nzuri ya Kampeni na pia kudai marekebisho katika daftari la wapiga kura ili vijana waliofikia umri wa 18yrs baada ya 2010 nao wapate haki ya kupiga kura.Katika hili inafaa kuwa andikisha kata hadi kata vijana wote ambao wamefikia umri wa kupiga kura na kufungua madai katika tume ya Uchaguzi mapema kabla ya muda wa Kampeni
 
Baada ya kesi iliyochukua muda mrefu, hukumu imetolewa. Ubunge wa Godbless Lema umebatilishwa, kwa hiyo jimbo la Arusha mjini ni wazi, halina mbunge. Tusubiri taratibu za uchaguzi mdogo.
 
Mmelifikiria hili la Mwanasheria mkuu kukata rufaa kupinga hukumu hii? Hata Lema asipokata rufaa ili uchaguzi mwingine ufanyike haraka, Mwansheria mkuu ambaye naye alikuwa mshitakiwa anaweza kukata rufaa na kesi ikavutwa hata miaka huku Lema akiwa sio mbunge.

Hii Ze Comedy huenda hatujafika mwanzo wa mwisho wa sinema ila ndio tumefika mwisho wa mwanzo.
 

Naamini hujakurupuka bali una evidence na usemayo. Inabidi huyu Dr. Masumbuko Lamwai aanze kunyatiwa na kamati ya ufundi ili aeleze kwa nini ameamua kuwasaliti waTZ kwa kuwanyanganya tonge mdomoni. Kama pia haya ni ya kweli basi uthibitisho utafutwe ili CDM iangalie what should be the next step.
 

Je Mwansheria Mkuu akikata rufaa? Huenda hii ngoma bado mbichi.
 
dats a heroic decision he has made..
 

uwezekano mkubwa ni CCM kukata rufaa wakitaka mahakama ya rufaa ifanye mapitio ya kesi ili Mhe. G Lema azuiliwe kugombea, watafanya hivyo kwa lengo la kuzuia uchaguzi kufanyika mapema na kuhakikisha jembe hili lisiendelee kuwalima! CHADEMA wako nuruni lakini CCM wanatembea na nguvu za giza!
 
Kuipenda ccm inakubidi uwe na akili ya mzoga wa bundi!
 
haki ya Mungu sijui ccm wanafikiria kwa kutumia nini! Hivi hawaoni kuwa wanaongeza kasi ya mabadiliko nchini? Na aliyewaroga bora aendelee kufa. Muda si mrefu watakaribia mzinga wa nyuki, na itakuwa hatma yao katika duru za siasa Tanzania
 
haswa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Hili la ku update daftari magamba hawatakubaliana nalo. Arumeru tumeshinda bila ku update daftari. Tunaanza na Mungu na tunamaliza na Mungu
 
Ccm hata ikisimamisha jiwe itashinda Lema hajafanya chochote tangu awe mbunge zaidi ya sifa za kijinga za kukataa dhamana na kupelekwa mahabusu!
 
Ni hukumu ya upendeleo na haina msingi!
kaka n ya upendeleo mwanzo mwisho!NA Kifup Tuwaonee Huruma Ccm Kwan Watapigwa mara7 ya uchaguz wa Awal!EE MUNGU SIKIA KILIO CHETU WATANZANIA TUMECHOKA KUDANGANYIKA!
 
Swafi sana tayarishe KOMBAT wana wa Arusha twaja kwa ajili ya kumpigia kampeni LEMA. CCM WEZI WA MALI YA UMMA
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…